Pesa uchaguzi huu kwa upande wa CDM hakuna. Ndio inaombwa hiyo michango.
Nyomi mara nyingi inadanganya watu. Wengi hawaendi kupiga kura hata kama wanacho kitambulisho.
Pesa uchaguzi huu kwa upande wa CDM hakuna. Ndio inaombwa hiyo michango.
Nyomi mara nyingi inadanganya watu. Wengi hawaendi kupiga kura hata kama wanacho kitambulisho.
Sio kweli, nitakupa mfano mdogo tu, angalia vijana wa bodaboda, wakati wanazuiwa kuendesha pikipiki unadhani uchumi wa familia zao ulikuwa umesinyaa kiasi gani na ninani alikuwa anawazuia wasifanye hizo kazi ? jibu unalo, unapomfukuza mtu kazi aliyekaribia kustaafu unadhani umedumaza watu wangapi walionyuma yake? unapombomolea mtu nyumba ya ndoto yake na usimpe fidia unadhani umedumaza wangapi, unapokataa bima ya afya isitumike kwa yeyote yule lkn wabafamilia unadhani umedumaza wangapi, ndugu orodha ni ndefu, jitambue.alafu hakunaga kitu kama uchumi in real, mtu kua maskini ama tajiri that all depends kwa mtu mwenyewe! wanaoendesha uchumi wa hii nchi ni wafanya biashara! izo kelele zingine ni upuuzi mtupu, mnakua kama hamjasoma bwana
Katika hali inayoashiri mikikimiki ya Campaign, Mgombea urais kupitia chama cha Mapinduzi amepumzika kufanya kampeni.
Wachambuzi wa mambo wanatafsiri kuwa kampeni za Mwaka huu zimekuwa siyo nyepesi kama zilivyodhaniwa.
Magufuli ambaye mwaka 2015 alizunguuka kwa barabara nchi nzima, inaonekana dhahiri kuwa safari hii hawezi kuifikia rekodi ya mwaka huo. Safari hii inaonekana ameweka nguvu zaidi katika mikoa ya ukanda wa ziwa huku Wapiga kampeni wengine wakienda kanda nyingine.
Hata hivyo wapiga kampeni wake yaani Mama Samia na Kassim Majaliwa hawana mvuto mkubwa wa kisiasa wa kuweza kuchangia kura za maana kwa Magufuli.
Wakati huohuo mgombea wa Chadema Tundu Lissu ambaye ana faida ya kujinadi mapema makhsusi kwa ajili ya uchaguzi huu kwa kisingizio cha "kutafuta wadhamini" ameendelea kuchanja mbuga kwenye ngazi ya jimbo kwa jimbo baada ya kumaliza kupiga show kwenye ngazi ya kanda kwa kanda.
Sambamba na ngazi ya Jimbo kwa jimbo, Chadema watafanya mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba ili kuhakikisha wanamng'oa Magufuli madarakani.
Bado haijajulikana kama kupumzika huku kwa mgombea wa CCM ni routine ya kawaida tu au uchovu au afya, tunangoja chama cha mapinduzi kitujuze zaidi.
View attachment 1567050
Vipi, mzee anaendeleajeee?Mbumbumbu chadema
Kengine yote nakuunga mkono mkuu, Ila hapo 🖕 kwenye ukata😳,mmh napata kigugumizi kuamini.Kuna tafsiri nyingi hapa
1. Keshajihakikishia ushindi kwa njia zisizojulikana
2. Amekata tamaa
3. Uchovu na afya
4. Mbinu ya kumpumbaza adui
5.UKATA
Atakata Moto baba yako au mama yako Kama bado wapo hai.Ok sawa, wewe tuambie basi Jiwe kule kwenye kale kakisiwa maarufu kwa maghagula kilichoko kwemye Z. Bictoria kaenda kuenda kifanya nn?? Safari hii hawatamsaidia kitu lazima akate moto jukwaani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunajua wewe Ni mke wake, hivyo Ni halali kabisa wewe kujua, anakotembelea mmeo.Lazima atembelee gamboshi kama kawaida yake la sivyo mambo yake hayaendi vizuri.
nyie ndiyo mliye mdanganya kuwa uchaguzi utakuwa bwerereMwingine anaweza kusema mwaka 2015 alitumia nguvu kubwa na akapita maeneo mengi kwa sababu kazi ilikuwa ngumu hata matokeo ya Uraia yalisadifu hilo.
Mwaka huu kazi ni nyepesi mno, kila mtu anaona kinachotokea, mwitikio wa Raia kwake na kwa wapinzani wake. ACT wameshanyosha mikono, CDM ndiyo Kama hivo, Juzi uliona Raia wa pwani Kama vile hawamjui, Jana Morogoro mjini umeona hali mwenyewe, kule Mheza ilikuwa aibu. Hata Makamanda tangu Mlivyoposti picha za Mbeya, hamjaposti tena, utafikiri Mgombea wenu yupo likizo naye.
Sasa kwa namna hiyo kwanini asipumzike Budha. Game imekuwa nyepesi mno.
Kama umegundua, wanachokifanya CCM baada ya uhakika wa Kushinda, ni kuhakikisha mtu anapata kipigo cha mbwa koko, hicho ndicho kinachofanyika kwa Sasa.
Iliongea na Mungu🤔?Asijali, atapumzika mazima tutapompa nchi Tundu Lissu. Aje atimize tu wajibu, nchi anakabidhiwa mwenye unyenyekevu wa kweli kweli mbele za Mungu; TUNDU A LISSU.
Kati ya ujinga wa waTanzania wengi ni kutokujua hesabu kubwa ya CCM inavyopigwa kwa akili na wao kutokua na wasi wasi wowote wa kushinda,watu wengi wanaendeshwa na mihemko tu ya vyama na hawajui kabisa pumzi kubwa na hesabu kubwa za CCM.Katika hali inayoashiri mikikimiki ya Campaign, Mgombea urais kupitia chama cha Mapinduzi amepumzika kufanya kampeni.
Wachambuzi wa mambo wanatafsiri kuwa kampeni za Mwaka huu zimekuwa siyo nyepesi kama zilivyodhaniwa.
Magufuli ambaye mwaka 2015 alizunguuka kwa barabara nchi nzima, inaonekana dhahiri kuwa safari hii hawezi kuifikia rekodi ya mwaka huo. Safari hii inaonekana ameweka nguvu zaidi katika mikoa ya ukanda wa ziwa huku Wapiga kampeni wengine wakienda kanda nyingine.
Hata hivyo wapiga kampeni wake yaani Mama Samia na Kassim Majaliwa hawana mvuto mkubwa wa kisiasa wa kuweza kuchangia kura za maana kwa Magufuli.
Wakati huohuo mgombea wa Chadema Tundu Lissu ambaye ana faida ya kujinadi mapema makhsusi kwa ajili ya uchaguzi huu kwa kisingizio cha "kutafuta wadhamini" ameendelea kuchanja mbuga kwenye ngazi ya jimbo kwa jimbo baada ya kumaliza kupiga show kwenye ngazi ya kanda kwa kanda.
Sambamba na ngazi ya Jimbo kwa jimbo, Chadema watafanya mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba ili kuhakikisha wanamng'oa Magufuli madarakani.
Bado haijajulikana kama kupumzika huku kwa mgombea wa CCM ni routine ya kawaida tu au uchovu au afya, tunangoja chama cha mapinduzi kitujuze zaidi.
View attachment 1567050
Kwani sio bwerere?nyie ndiyo mliye mdanganya kuwa uchaguzi utakuwa bwerere
Sio kweli, nitakupa mfano mdogo tu, angalia vijana wa bodaboda, wakati wanazuiwa kuendesha pikipiki unadhani uchumi wa familia zao ulikuwa umesinyaa kiasi gani na ninani alikuwa anawazuia wasifanye hizo kazi ? jibu unalo, unapomfukuza mtu kazi aliyekaribia kustaafu unadhani umedumaza watu wangapi walionyuma yake? unapombomolea mtu nyumba ya ndoto yake na usimpe fidia unadhani umedumaza wangapi, unapokataa bima ya afya isitumike kwa yeyote yule lkn wabafamilia unadhani umedumaza wangapi, ndugu orodha ni ndefu, jitambue.
Natamani siku MOJA kibao kikugeukie uyapate maswaibu ya huu utawala....sisi waislamu tunasemaga inshallah....Kusema kampeni za CCM ni ngumu ni vichekesho. Rais Magufuli hata asipopiga kampeni kuanzia leo ushindi ni 90%
Rafiki zetu wa CHADEMA mtaula wa chuya huu mwaka hampati hata mbunge.
Wapo wagombea 16 hayupo Lissu peke yake.Wote hao wanamjibu Lissu? Amakweli Lissu yupo juu