Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Kwa hiyo mkuu tusiwe na wasiwasi. Nyomi za CHADEMA kura hawapigi Ila za CCM.

Au vp mkuu?
CCM mikutano yao wanakwenda na nguo za kijani na wote wale ni wapiga kura.

Ni chama chenye wanachama milioni nane kwa data za 2015, ni chama chenye utaratibu wa uendeshaji wenye kueleweka. Kina hazina ya wataalam wa fani mbalimbali.
 
CCM mikutano yao wanakwenda na nguo za kijani na wote wale ni wapiga kura.

Ni chama chenye wanachama milioni nane kwa data za 2015, ni chama chenye utaratibu wa uendeshaji wenye kueleweka. Kina hazina ya wataalam wa fani mbalimbali.

Sasa mna yote hayo kwa nini mmeshindwa uwepo wa tume huru ili muwashinde kiroho safi wasiwe hata na kisingizio?

Kwa nini muwabanie vyombo vya habari?

Kwa nini kuwa engua engua?

Kwa nini mafigisu yasiyokwisha dhidi yao?
 
Kuna watu ni kama akili zenu zimefyatuka

Pumzi ya JPM na jinsi jamii inavyo mkubali lakini bado mnajikaza tu kuja mitandao kuropoka upuuzi sijui mtafaidika nini
 

Angalau we ni kati ya wanaCCM wanaoweza kuandika vizuri, sijazungumzia kujenga hoja lakini. Wape semina elekeze wenzio basi wanatia aibu humu. Semeni ukweli sio kwamba kampeni ni rahisi na mzee ameamua kupumzika, la hasha! Hawezi mpera mpera huu mfululizo. Kampeni zingekuwa rahisi tusingemsikia akisema β€œMkiendelea kuzomea naondoka” au β€œMninyime miaka mingine mitano nimewakosea nini”? πŸ˜€

Btw, miss u nakusubiria wasapu.
 
Huyo alimpenda Mungu na kumchukia binadamu mwezake ila sisi tutamwonesha upendo was bure kabisa
 
Teh teh teh teh, unanichekesha hapa, mbavu SinaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚halafu Mimi ni CHAUMA, kule kwa Rungwe kwenye Ubwabwa usijifanye haujui. Hapa nilikuwa najaribu kueleza tu ukweli na kujaribu kuwasaidia Wanabuku7 dhidi ya Wanaserengeti
 

We bana acha kujificha CHAUMA, ubwabwa ukija kwangu ntakupikia. Hujakubali ushauri wangu wa kuwafundisha mataga wenzio kujenga hoja na kuandika kwa ufasaha!
 
Pumzi ya JPM na jinsi jamii inavyo mkubali
Itakuwa upo bize sana na mitandaoni kujibu hoja za wanaompinga jpm na huna muda wa kuzunguka mitaani aukawasikiliza wananchi.

JPM akipata 30% ya kura ujue kaiba.
 
We bana acha kujificha CHAUMA, ubwabwa ukija kwangu ntakupikia. Hujakubali ushauri wangu wa kuwafundisha mataga wenzio kujenga hoja na kuandika kww ufasaha!
MATAGA teh teh teh teh😎😎😎😎😎😎😎😎, una mambo aloo, nakuchora tu hapa. Anyways mimi CHAUMA bwana Kama wewe ulivyo Mwanachama wa kile Chama cha Queen Sendega
 
Kusema kampeni za CCM ni ngumu ni vichekesho. Rais Magufuli hata asipopiga kampeni kuanzia leo ushindi ni 90%

Rafiki zetu wa CHADEMA mtaula wa chuya huu mwaka hampati hata mbunge.

Kampeni ya ccm ni ngumu kwa sababu tatu kubwa. Mosi, chama chenye serikali kina nafasi kubwa ya kukosolewa. Pili, baada ya uchaguzi uliopita ccm haikufanya kazi yoyote ya kisiasa bali ilikabidhi majukumu yake yote kwa serikali ambayo nayo ilijihusisha zaidi kudhoofisha ushindani. Tatu, tofauti na 2015 udhaifu wa ccm ya sasa umefahamika zaidi na upinzani umejipanga vizuri zaidi kijenga hoja za kisiasa kwa kutumia udhaifu huo. Ndiyo maana mapema tu wazee wamechukuliwa kuingia kwenye kampeni. Katika hali ya kawaida wazee wangeingia dakika za mwisho. Na kwa namna wazee wenyewe wanavyoshiriki kampeni ni dhahiri pia mambo siyo mzuri. Muda mwingi hutumika kutetea maamuzi tata ya serikali na kutoa maelezo kitu ambacho kilipaswa kufanywa na serikali yenyewe tena muda mrefu uliopita. Maana yake wahusika hawana utetezi wala maelezo ya kuridhisha hivyo kuhitaji msaada. Aidha nguvu nyingi pia hutumika kukosoa mbinu za washindani na kutoa vitisho dhidi ya mwenendo wao badala ya kupambanisha hoja.
 
Sijui kama watakuelewa hawa 'watani' zangu! Erythrocyte ,Missile of the Nation Daudi Mchambuzi na wengineo mmesikia/soma na kuelewa?
 
Duuh! Asante kwa uchambuzi wako mzuri mkuu. Nimepata kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…