Hiki chama mkiambiwa kimelaaniwa mnapinga, kadiri wanavyolazimisha wananchi wawapende ndio wanazidi kuchukiwa kiasi ya wao kujipanga kwa kuiba kura,kuengua wagombea na hila kibao,na hawana wanalopata zaidi ya kula hasara,
Imeshajulikana CCM watapata sio kura zaidi ya asilimia 23, muungano wa suprise umepewa kura asilimia 69 na zilizobaki ni kwa vyama viliobakia kama asilimi 7,11.
Kujua kwingi kwa CCM sasa imewafanya wananchi wote kuhudhuria mikutano yao isio na tija hivyo huwazuga watu na kuwawekea wasanii wa midumange,hawana jipya, ibada yao ni ngoma kama wanaoabudu mizimu, wamekusanya wasanii kila rangi, sijui kuna aliewambia waTanzania wanashida na wasanii wasio jielewa maana wasanii wote kama hawajiamini ila si bure lazima kuna kitu kilichojificha ndani ya wasanii wao, kura zao ndio bakora ya kuipiga CCM kuwakomesha kuwangaisha kwata.
Kusema kweli wasanii hawana raha ,zaidi ya hofu na woga,hilo hawawezi kulikataa ndani ya mioyo yao,wapo hapo kwa kuogopa kazi zao kuvurundwa na CCM ,CCM ni mahasidi sana.