Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Wasanii wangapi watakuwepo huko..Zuchu vip. Maana zile ni tamasha la bongo fleva, muvi, na komedi
Kama wote...wasanii wapokaribu na CCM.
hakuna crowd kubwa kama ya CCM ..Hivyo ni fursa kwao
 
Kwa mara ya kwanza Shule zinachukua Chaki Singida.
Kwa mara ya kwanza Mji wa Singida punda na watu wanakanyaga lami.
Hospitali na vituo vipya vya Afya vimejengwa.
For your information, barabara ya lami ya kwanza Singida ilijengwa kipindi cha mjerumani.
 
Leo ni zamu ya Mkoa wa Singida kwenda kusikia yaliyofanyika na sera zenye muelekeo mpya wa Tanzania ya kujitegemea.
Iiving in the last without hope in the future...wishing you all the best brother
 
Kwa mara ya kwanza Shule zinachukua Chaki Singida.
Kwa mara ya kwanza Mji wa Singida punda na watu wanakanyaga lami.
Hospitali na vituo vipya vya Afya vimejengwa.
Halafu malizia..Kama si awamu ya tano....
 
Hicho kibabu chenu tunakipiga chini hatutaki kufokewa fokewa. Uowevu baathi.
 
Kutoka Mkalama tunasubiri trekta tukajaze uwanja
 
Hiki chama mkiambiwa kimelaaniwa mnapinga, kadiri wanavyolazimisha wananchi wawapende ndio wanazidi kuchukiwa kiasi ya wao kujipanga kwa kuiba kura,kuengua wagombea na hila kibao,na hawana wanalopata zaidi ya kula hasara,

Imeshajulikana CCM watapata sio kura zaidi ya asilimia 23, muungano wa suprise umepewa kura asilimia 69 na zilizobaki ni kwa vyama viliobakia kama asilimi 7,11.

Kujua kwingi kwa CCM sasa imewafanya wananchi wote kuhudhuria mikutano yao isio na tija hivyo huwazuga watu na kuwawekea wasanii wa midumange,hawana jipya, ibada yao ni ngoma kama wanaoabudu mizimu, wamekusanya wasanii kila rangi, sijui kuna aliewambia waTanzania wanashida na wasanii wasio jielewa maana wasanii wote kama hawajiamini ila si bure lazima kuna kitu kilichojificha ndani ya wasanii wao, kura zao ndio bakora ya kuipiga CCM kuwakomesha kuwangaisha kwata.

Kusema kweli wasanii hawana raha ,zaidi ya hofu na woga,hilo hawawezi kulikataa ndani ya mioyo yao,wapo hapo kwa kuogopa kazi zao kuvurundwa na CCM ,CCM ni mahasidi sana.
 
CCM wanabeba kura zote za singida.udiwani,ubunge na Urais.
 
Story za madaraja na ndege zitawasaidia vipi walima alizeti wa singida,

Mi nashauri Lisu na yeye aitishe mkutano wake Singida siku hiyo hiyo ya September 2
Na stori za kulialia kuonewa huruma kisa kupigwa risasi zitawasaidia nini?
 
Back
Top Bottom