Fisiemu.Vipi lichadema magundu hakuna mtu anajielewa anaenda huko, mmejazana wahalifu
Watu wanaenda kuwashangaa wasanii na kupata burudani za bure wakitoka hapo wanaenda kusikiliza clip za sera za Lissu maana huko green hamna sera inayomlenga mwananchi wa hali ya chiniBaada ya kushuhudia ya leo nimeamua kupiga kambi humu humu Chato ambapo kesho kuna burudani ya aina yake kutoka kwa wasanii takribani 10 wakiongozwa na Harmonize, Juma Nature na Stamina wakinogesha kampeni za urais za CCM
Awamu hii wasanii zaidi ya 100 wamegawanyika maeneo mbali mbali ya Zanzibar na Tanganyika kwaajili ya kunogesha kampeni za CCM ambapo kwa jana pekee huko Tanga mgombea ubunge wa Tanga mjini kupitia CCM Ummy Mwalimu alikuwa na wasanii kumi akiwa mgombea ubunge wa kwanza kutia fora kwa lundo la wasanii.
View attachment 1568952View attachment 1568954View attachment 1568955View attachment 1568956View attachment 1568958View attachment 1568959View attachment 1568962View attachment 1568963
taja 1 la Lissu!Sasa kama hayo ni matusi basi neno matusi litakuwa limepoteza maana yake
Professor Jay na Sugu they're Still Bongo Flavor Kings of All time na Hawachuji daimaChadema magundu, msanii akienda Chadema anajitengenezea gundu
Uchaguzi huu hatutatumia wasanii kufanya kampeni, tutatumia band yetu ya T.O.T. Hii ni kwasababu ya kupunguza matumizi ya fedha katika kampeni zetu CCM. - katibu Mkuu
Watanzania hatutaki maendeleo ya kisanii, twataka maendeleo ya watu na yanayoonekana.Usanii sasa basi.mChadema hadi wasanii imewakataa,vyombo vya habari haviwataki
Chadema magundu
Lugha chafu za lissu anatukana kila mtu kwa kujivunia uraia wa ubeligiji Ndio iliyoifikisha Chadema apo
Mimi nipo Chato nitakuwa live kuangalia burudaniHongera kwa kufuatilia mambo ya CCM kesho usibanduke kwenye Tv yako
Miaka 10 nyuma,!Hakuna wasanii, Leo IringaView attachment 1569003
[emoji23][emoji23] Upo Tanzania kweli?Miaka 10 nyuma,!
Haya niambie huyo Lisu wako anaingia mara ngapi hapa?
[emoji116][emoji116]View attachment 1569026
Mkuu hoja ni Magufuli kupumzika baada ya kuchemsha
Wananchi wameshtuka sahiv, Fiesta CCM kura Chadema.
CCM wanapumulia mashine
View attachment 1568982
Aibu Gani Hii🤨😑😶😏🙄
"matiti" ni tusi au sio tusi?Sifa moja wapo ya wanachama wa ccm ni kuwa wastaarabu wewe huoni kama sio jambo la hekima kutaja matusi hadharani?
Unawaambia hawa misukule ya buku 7!? Hii misukule haina uwezo wa kumiliki hata bustani hii,zaidi ya kutumwa kuneemesha wenye CCM yao,ambao ndio hao wanaomiliki maelfu ya ekari za ardhi isiyofanyiwa kitu.
Matiti au maziwa ni sehemu za kifua za mwanamke zilizotutumka zenye machuchu. Baada ya kuzaa hujaa maziwa na hutumika ili kunyonyesha mtoto mchanga."matiti" ni tusi au sio tusi?
"matiti" ni tusi au sio tusi!?Matiti au maziwa ni sehemu za kifua za mwanamke zilizotutumka zenye machuchu. Baada ya kuzaa hujaa maziwa na hutumika ili kunyonyesha mtoto mchanga.
Kama una akili timamu sitegemei uniulize swali kama hilo tena