Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Vipi lichadema magundu hakuna mtu anajielewa anaenda huko, mmejazana wahalifu
Fisiemu.

Yale mashamba ya morogoro mjiandae yanataifishwa.
IMG_20200913_192421.jpeg
 
Baada ya kushuhudia ya leo nimeamua kupiga kambi humu humu Chato ambapo kesho kuna burudani ya aina yake kutoka kwa wasanii takribani 10 wakiongozwa na Harmonize, Juma Nature na Stamina wakinogesha kampeni za urais za CCM

Awamu hii wasanii zaidi ya 100 wamegawanyika maeneo mbali mbali ya Zanzibar na Tanganyika kwaajili ya kunogesha kampeni za CCM ambapo kwa jana pekee huko Tanga mgombea ubunge wa Tanga mjini kupitia CCM Ummy Mwalimu alikuwa na wasanii kumi akiwa mgombea ubunge wa kwanza kutia fora kwa lundo la wasanii.
View attachment 1568952View attachment 1568954View attachment 1568955View attachment 1568956View attachment 1568958View attachment 1568959View attachment 1568962View attachment 1568963
Watu wanaenda kuwashangaa wasanii na kupata burudani za bure wakitoka hapo wanaenda kusikiliza clip za sera za Lissu maana huko green hamna sera inayomlenga mwananchi wa hali ya chini
 
Mkuu hoja ni Magufuli kupumzika baada ya kuchemsha

Sasa je umekubali kuwa alipumzika na kampeini kwa ajili kujiandaa kusaini mkataba wa bomba la mafuta kutoka Uganda akiwa kama rais wa JMT ambapo Tanzania itapata 60%? Mseveni alikwenda Chato na mkataba umeasiniwa jana.
 
Mpk nyumbn kwao hajiamini huyu mzee hawa wasanii utafikiria ndo wanakuja kumwaga sera asee
 
Fiesta msimu wa 11,usikose.

Kauli mbiu ya mwaka huu ni:Mara paaaaaaaap ni yeyeeeeee.
 
Fisiemu.

Yale mashamba ya morogoro mjiandae yanataifishwa. View attachment 1569005
Unawaambia hawa misukule ya buku 7!? Hii misukule haina uwezo wa kumiliki hata bustani hii,zaidi ya kutumwa kuneemesha wenye CCM yao,ambao ndio hao wanaomiliki maelfu ya ekari za ardhi isiyofanyiwa kitu.
Hii misukule inapigania usukule wao wakiamini kutumwa tumwa kwao kunaweza siku moja kuwapa nafasi ya kula makombo ya mezani kwa mabwana zao (teuzi).
 
"matiti" ni tusi au sio tusi?
Matiti au maziwa ni sehemu za kifua za mwanamke zilizotutumka zenye machuchu. Baada ya kuzaa hujaa maziwa na hutumika ili kunyonyesha mtoto mchanga.

Kama una akili timamu sitegemei uniulize swali kama hilo tena
 
Matiti au maziwa ni sehemu za kifua za mwanamke zilizotutumka zenye machuchu. Baada ya kuzaa hujaa maziwa na hutumika ili kunyonyesha mtoto mchanga.

Kama una akili timamu sitegemei uniulize swali kama hilo tena
"matiti" ni tusi au sio tusi!?
 
Back
Top Bottom