Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Hivi ile ilikuwa ni presha au alipatwa na kitu gani?.Tuwaombeeni viongozi wetu, mmoja wa wagombea alidondoka jukwaani mchana kweupe,
Sasa wewe umekalia majungu tu Wakati mgombea kupitia Chama chako anadondoka jukwaani
Labda alipigwa na wafipa?Hivi ile ilikuwa ni presha au alipatwa na kitu gani?.
Mkuu kuongelea swala la kufa ni Ujinga Kwa kuwa hakuna atayeishi milele, Kwa hiyo unamnaga Nani na kufa? Mimi nitakufa ndiyo, kumbuka na wewe utakufaSababu mlimpiga risasi ili afe. Hajafa sasa. Na wewe utakufa kabla yake ili alione kaburi lako. Kama alivyokufa yule aliyetuita Malofa. Sema Ameen
Kumdhihaki mtu mliyempiga risasi ili afe na hakufa ni ujinga maana hata wewe kabla hujafa utakuwa mlemavu. Sema AmeenMkuu kuongelea swala la kufa ni Ujinga Kwa kuwa hakuna atayeishi milele, Kwa hiyo unamnaga Nani na kufa? Mimi nitakufa ndiyo, kumbuka na wewe utakufa
Nimesema, tuwaombee viongozi wetu, halafu unachoandika hakiendani kabisa na nilichoandika
Okay! Nishajua najibizana na mtu wa type ipi, hunisumbui tena! Na sikufuatilii tena, Endelea mkuuKumdhihaki mtu mliyempiga risasi ili afe na hakufa ni ujinga maana hata wewe kabla hujafa utakuwa mlemavu. Sema Ameen
Sasa lissu akifika kweli mtampokea kwa shangwe. Huyu LISSU aliyetumiwa na Mbowe na Mtei kumsaliti Zitto na hata kugomea kumzika Mjumbe wao wa kamati kuu Marehemu Mama Zitto. Tutaona kama wana kigoma wana muungano au ni wanafiki na wanuzana.Subiri Lissu afike kwanza ndio tutajadili hili
Vizuri sana kama umegundua ujinga wako! Sema AmeenOkay! Nishajua najibizana na mtu wa type ipi, hunisumbui tena! Na sikufuatilii tena, Endelea mkuu
Sema amen
Ni kama kuvunja rekodi kwa aina yake mwaka huu kitu ambacho si kizuri kwa ACT Wazalendo kwani Kigoma ni kama miguu ya ACT Wazalendo hivyo ukikata ngwala Kigoma maana ni kama CCM imeua mtu au kubaka kabisa. Kuna kila haja ya Zitto kuliangalia hili anguko kwa umakini na kuchukua hatua za maksudi kuepuka janga hilo.
Kinachokwenda kutokea ni kuwa Tanzania Bara hakutakuwa na ACT Wazalendo ila Zanzibar itakuwepo, hili ndilo linaloonekana kwa sasa.
Unasemaaaaaaaaaa?Kuna mgombea anaongea mpaka sauti ina mkauka mishipa imemtoka lakini kazi ni kukariri yale yale kila anapoongea na wananchi bila kuangalia mahitaji ya eneo husika na uelewa wa anao ongea nao. Hii ni kama mtu aliye zaliwa kipofu bahati nzuri macho yakafunguka kwa sekunde moja akawa kamwona punda mbele yake kisha macho kufunga tena. Kuanzia siku hiyo ikawa kila unacho sema yeye anasema ni kama punda. Ukisema fulani kajenga nyumba nzuri anasema kama punda? Ukisema fulani kanunua gari zuri yeye anasema kama punda? Ukisema dada fulani ni mzuri anasema kama punda?
Sasa huyu mgombea naye kakariri hata kabla hajaanza kuongea unajua kabisa atakariri mabilioni wizara ya afya, ndege, sgr, stigula, urefu wa barabara, bure elimu. Wakati mwingine hata anao ongea nao hawajui bilioni ina elfu moja ngapi kwakuwa maisha yao ni ya chini sana yanaishia kwenye elfu lakini yeye amekazana kutaja mabilioni. Mara ndege wakati wananchi anao ongea nao maisha yao ni baiskeli wana hitaji maji. Wengine wame dhurumiwa korosho zao. Hayupo contextual wala contemporary kabisa. Akienda kanisani ni hivyo hivyo. Bora wangekuwa wanaweka CD au flash ya hotuba yake inapofika zamu ya kuhutubia kwani wana mchosha wakati hana muktadha kabisa.
Nani kakwambia kuwa wote unaowaona hapo wanampenda Magufuli? Sisi ambao tumezaliwa na kukulia vijijini, tunajua maana ya kwenda kumwona uso kwa uso mtu ambaye siku zote umekuwa ukimsikia redioni ama kumwona kwenye TV. Yaani kwenda kushangaa. Na isitoshe, usijifanye kuwa haujasoma nyaraka za ofisi zikilazimisha watu kwenda kwenye mikutano ya Magufuli, shule kufungwa ili wanafunzi na walimu waende kwenye mikutano ya Magufuli. Na hata picha kuletwa hapa JF na mitandao ya kijamii. Na picha za watu kusombwa pia haujaziona? Na Mama Maria naye haukumsikia? It is an artificial audience kwa ajili ya kampeni ya kisaikolojia. Otherwise, haina maana yoyote.
hotuba yake inapofika zamu ya kuhutubia kwani wana mchosha wakati hana muktadha kabisa
Bora wangekuwa wanaweka CD au flash ya hotuba yake inapofika zamu ya kuhutubia kwani wana mchosha wakati hana muktadha kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mgombea anaongea mpaka sauti ina mkauka mishipa imemtoka lakini kazi ni kukariri yale yale kila anapoongea na wananchi bila kuangalia mahitaji ya eneo husika na uelewa wa anao ongea nao. Hii ni kama mtu aliye zaliwa kipofu bahati nzuri macho yakafunguka kwa sekunde moja akawa kamwona punda mbele yake kisha macho kufunga tena. Kuanzia siku hiyo ikawa kila unacho sema yeye anasema ni kama punda. Ukisema fulani kajenga nyumba nzuri anasema kama punda? Ukisema fulani kanunua gari zuri yeye anasema kama punda? Ukisema dada fulani ni mzuri anasema kama punda?
Sasa huyu mgombea naye kakariri hata kabla hajaanza kuongea unajua kabisa atakariri mabilioni wizara ya afya, ndege, sgr, stigula, urefu wa barabara, bure elimu. Wakati mwingine hata anao ongea nao hawajui bilioni ina elfu moja ngapi kwakuwa maisha yao ni ya chini sana yanaishia kwenye elfu lakini yeye amekazana kutaja mabilioni. Mara ndege wakati wananchi anao ongea nao maisha yao ni baiskeli wana hitaji maji. Wengine wame dhurumiwa korosho zao. Hayupo contextual wala contemporary kabisa. Akienda kanisani ni hivyo hivyo. Bora wangekuwa wanaweka CD au flash ya hotuba yake inapofika zamu ya kuhutubia kwani wana mchosha wakati hana muktadha kabisa.
Leo uwanjani hawapo wengi kama jana ..wameshinswaje kujaa kumuona na rais wa Burundi
Zitto anamuunga mkono Lissu na hii ni karata kubwa sana ya CHADEMA kubeba kura nyingi kigoma.Kwabahati mbaya unaongea habari za kigoma ila unaonekana si mwanakigoma, nakama ndio basi umeongea kimahaba zaidi.
Kigoma washenzi sana kila atakaeenda atajaza watu kwasababu walewale wanaokuja kwenye mkutano wa JPM ndio watakaokuja kwa LISU. Huwa wanapenda sana kumsikiliza mtu anasemaje hata kama hawampendi ili badae wakabishane vijiweni.
Nakukumbusha 2015 kawawa ilijaa hadi wengne wakapanda juu ya ukuta ila mwisho wa siku ubunge na madiwani wakampa Act.
Pili Kigoma kampeni za ndani (Nyumba kwa nyumba) ndo huwa zina mpa maamuzi mpiga kura. Hawategemei sana kampeni za majukwaa wao wanaenda kwenye mkutano ila washajua kula wanapiga wapi. 2005 kilitokea hichi kwa Kaburu baada yakujaza watu kwenye mikutano afu akapigwa chini.
Tatu Kigoma kula za Uraisi ni za Magufuri kwasababu kule Chadema ilipoteza Nguvu baada yakumtoa ZITTO. Ukizingatia wanajua kabisa membe hawezi kupita.
4: Kigoma hasa pale mjini udini na ukanda huwa unamuamulia mpiga kura wapi apeleke kura yake.
5: ZITTO anajua sana jinsi yakucheza na akili zao. Mana huwa anayoahidi 75% yanafanyika ko haijalishi nani kafanya ila wanajua yeye kafanya mana huwa anakua wakwanza kusemea.
Ko kung'oa ZITO kigoma sio kazi rahisi kama unavyofikiria labda irumike nguvu ya Ziada ya gori la mkono.
Jamaa hadi alishiba sifa akaanza kuita watu vilaza.
Mamaaaaa miaka 5 imekuwa kama upepo, imetosha kuonesha nyeti za kuku hakuna kitu pale. Ni fuvu la kubebea macho, masikio na nywele.
Mungu ingilia kati.