Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Wasanii nao ni mbinu sema nyie pesa hakuna itakuwa mna shida sana
 
Mwendokasi na DSM zote zitakodiwa na CCM na zitabeba watu kutoka kila kona ya mji!
Tshirt na vipeperushi vitagawiwa bure !
Ukiona mtu anapewa t-shirt ya CCM na kipeperushi na akavaa akaenda kwenye kampeni za CCM jua ni CCM kabla Ila hakuwa na t-shirt wala kofia kabla. Kwa hali ilivyo huwezi mvalisha mfuasi wa Lissu t-shirt na kofia ya ccm akakubali. So, ukiona nyomi usishangae sana. Nakuhakikishia walioguswa na uongozi wa JPM hasa wa hali ya chini ni wengi sana. Subirini 28 October ndo mtaelewa.
 
T-shirt bei gani babu acha uzee
 
Kwa umasikini uliopo kwa wananchi mtu kupata tshirt ya bure na burudani ya viwango vya fiesta,hawezi kukataa!
Hawa wengi wao ni wapiga kura wasio na vyama!Utashangaa akienda mgombea mwingine nao wanaenda pia!
 
Hapa ni njiani tu Jpm akifika Kigoma ! Watu wamekusanyika hivyo na Hakuna wasanii hapo!, sasa vuta picha itakavyo kuwa Dar ! Ndo mtajua hamjui.
Your browser is not able to display this video.
 
Kwa umasikini uliopo kwa wananchi mtu kupata tshirt ya bure na burudani ya viwango vya fiesta,hawezi kukataa!
Hawa wengi wao ni wapiga kura wasio na vyama!Utashangaa akienda mgombea mwingine nao wanaenda pia!
Wewe t-shirt unazo au ndio walewale
 
Hivi kwa mnavyo fikili hapa Dar bila wasanii !. Watu hawawezi kwenda kumuona jpm ! Mara ngap msafar wake ulikuwa ukisimamishwa na nyomi!
 
watu wa Dar tunapenda sana kuwaona wasanii waki perform live majukwaani.

so.....yes upo sahihi, wana Dar tutafurika kwa maelfu kwenda kupata burdani ya dezo!!
 
Wasanii nao ni mbinu sema nyie pesa hakuna itakuwa mna shida sana
Mpaka leo hii wasanii bado wanadai hela zao walizodhulumiwa 2015.
Mkumaliza kuhakiki labda watalipwa.
 
Naam, malori ya mchanga na mabasi yakileta watu toka Moro, Pwani, Lindi, nk lazima wajae mjini. Na wafanyakazi wakilazimishwa kuhudhuria na shule zikafungwa ili watoto wa shule wawepo, lazima mji usimame.
 
Waafrika huwa tunaimba kila tukio,tukiwa na sherehe,vita hata kampeni tunaimba ni sehemu ya maisha yetu.
 
ujio kama huo unaongeza mzunguko wa pesa kwa wananchi
boda boda leo watafanya kazi,mama ntilie,mikahawa,ma bar n.k
Mqnufaa ya masaa mawili tu? Na ni afisa gani aliyeambatana na Ndaishimiye atapanda bodaboda? Acheni kudanganya wananchi.
 
Kinachonikera ni hawa wanawake, anamtoto mdogo mgongoni kasimama front page masaa 2+ ili apige vigeregere.....WTF. halafu baba upo unashuhudia tu[emoji848], aliekwambia mwanao ni sisiemu nani?

Sio hivyo tuu Africa Tanzania Dar es salaam atafanyiwa mengi sana kama yeye alivyoitendea wema😂😂😂
Majibu kamili October 28, 2020
 
watu wa Dar tunapenda sana kuwaona wasanii waki perform live majukwaani.

so.....yes upo sahihi, wana Dar tutafurika kwa maelfu kwenda kupata burdani ya dezo!!
Yaan watu waend kuwaon wasanii waki perform nyimbo za kumsifia Jpm! Tumienbakili bas ! Yan mi niwe CDM kindakindaki, eti nikamuone zuchu anaimba akismsifia jpm! .Msitake kuforce kuwa jpm hapendwi!..
 
Ujio wa Rais Magufuli hapa Dar es Salaam utakuwa ni sherehe za kile CCM imekifanya ndani ya miaka mitano ya awamu kwanza ya Serikali ya CCM chini ya uongozi wa Rais John Pombe Magufuli..

Wapinzani hasa Chadema walikuja na hoja kuwa ccm imejikita katika maendeleo ya vitu kuliko watu wakasahau wao macho kumchuzi kila siku wanawaabudu wazungu na wanaenda Ulaya kwa sababu ya kwenda kuona Maendeleo ya vitu!.

hii imewafanya waonekane hawafai na ni watu wa ovyoo,watu wenye akili timamu wanajua hizo mega structures wanaziita ni maendeleo ya vitu ni kwa ajili ya watu...

Rais John Magufuli na serikali yake wamefanya mambo makubwa Chadema wanayaita Maendeleo ya vitu kwa ajili ya watu,Miradi ya reli ya Umeme SGR au JNHPP utanufaisha watu..Hospital..vituo vya afya..shule na barabara zinazojengwa ni kwa ajili ya watu...

Hii inawafanya Chadema waonekani ni watu wa hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…