Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Hahahaha jamaa bhana, unadai alijaza Jangwani 2015 ila mwisho wa siku aliambulia % ya kura??

Kma alijaza vile na alipigwa kwenye urais,ubunge na madiwani kipi kilichobadilika hadi sasa akijaza ndio iakisi kura zake??
 
Naam, malori ya mchanga na mabasi yakileta watu toka Moro, Pwani, Lindi, nk lazima wajae mjini. Na wafanyakazi wakilazimishwa kuhudhuria na shule zikafungwa ili watoto wa shule wawepo, lazima mji usimame.
Dar itajazwa na Wana Dar wenyewe!. Hiv mnakili mtaweza kulingalisha ufunguzi wa kampeni wa CDM zakhem! .Na itakavyokua kwa CCM ? .
 
Kujaza uwanja si kuchaguliwa.
Vipi wapenzi wa muziki watapata burudani? Maana hiyo ndo inawapeleka watu na si kwamba mgombea anapendwa wala sera za mgombea.
 
Kujaza uwanja si kuchaguliwa.
Vipi wapenzi wa muziki watapata burudani? Maana hiyo ndo inawapeleka watu na si kwamba mgombea anapendwa wala sera za mgombea.
Hi ilikuwa njiani simiyu , tuambie watu walifuata wasanii hapo? Msitake kuforce Jpm hapendwi! Na kwa Dar ndo mtaelewa!.
 
Hivi kwa mnavyo fikili hapa Dar bila wasanii !. Watu hawawezi kwenda kumuona jpm ! Mara ngap msafar wake ulikuwa ukisimamishwa na nyomi!
Lisu hana wa sanii kwa kuwa hana pesa yeye mwenyewe anaomba achangiwe ,wasanii hufuata pesa hawanaga chama nyie mms pewa milion 320 miaka 20 bado hamna kitu sasa wasanii waje kufanya
 
watu wa Dar tunapenda sana kuwaona wasanii waki perform live majukwaani.

so.....yes upo sahihi, wana Dar tutafurika kwa maelfu kwenda kupata burdani ya dezo!!
Tutafurika kumuona jpm
 
Jpm hapa dar atapokelewa kama ruby ya morogoro itakuwa sikukuu ya kukumbukwa
 
Lisu hana wa sanii kwa kuwa hana pesa yeye mwenyewe anaomba achangiwe ,wasanii hufuata pesa hawanaga chama nyie mms pewa milion 320 miaka 20 bado hamna kitu sasa wasanii waje kufanya
We kampeni gani bila burudani! Wanaweweseka tu! Tatizo wanataka wawe levo moja na CCM ndo tatizo lao chadomo!.
 
Hahahaha jamaa bhana, unadai alijaza Jangwani 2015 ila mwisho wa siku aliambulia % ya kura??

Kma alijaza vile na alipigwa kwenye urais,ubunge na madiwani kipi kilichobadilika hadi sasa akijaza ndio iakisi kura zake??
Alipiga chini lowasa na nguvu zake zote itakuwa huyu mfia mabeberu
 
Tukio litafanyikia uwanja wa Mkapa ,na utajaa ,aibu kwa yule aliefanyia Mbagala ,akakosa watu akaamua kuingia mitaa ya kariakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…