zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Hahahaha jamaa bhana, unadai alijaza Jangwani 2015 ila mwisho wa siku aliambulia % ya kura??Kama amejaza hivyo Kigoma, Mwanza, Shinyanga, Kagera mpaka viwanja vikajaa na watu kubakia nje huku barabara zikiwa zimejaa, sipati picha hapa Dar.
Huu ndio kila kitu na wabunge wake watatu wote walihamia CCM kutoka CHADEMA kabla upinzani haujafa huku ukitoa taswira ya aibu siku Lissu alipozindua kampeni Mbagala na kuambulia vitoto vya shule.
Wakati tunazindua kampein zetu Jangwani mwaka 2015 watu walijaa sana ingawa kulikuwa na wingu la Lowassa kwa sasa sisi wanadar tunangoja kwa hamu kama vile wapentekosti wakimsubilia masia sisi ni zaidi nabii wetu wa maendeleo anakuja kutua Dar, mji utazizima kwa furaha sio bodaboda, mamantilie achilia mbali wasomi kama mimi.
Kwa mujibu wa uchunguzi wa umoja wa ulaya jpm anaonekana kukubalika sana Tanzania na mvuto wake hadi nje ya nchi .
Nangojea kuona tukio hili kubwa sana nadhani hata wewe msomaji unaomba usiku na mchana magufuri atue hapa
USSR
Kma alijaza vile na alipigwa kwenye urais,ubunge na madiwani kipi kilichobadilika hadi sasa akijaza ndio iakisi kura zake??