Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Vijana wa kitanzania wamejipunguzia thamani hadi wengi wao wanajiita majina ya ajabu ajabu kama chawa, danga, panya....
 
Kama amejaza hivyo Kigoma, Mwanza, Shinyanga, Kagera mpaka viwanja vikajaa na watu kubakia nje huku barabara zikiwa zimejaa, sipati picha hapa Dar...
Ni kweli, Malori kutoka Manero Mango, Bagamoyo, Mdaura na maeneo mengine vijijini lazima yazibe barabara
 
Lakini na Lowasa ilikuwa hivi hivi akapata kura milioni 6 kwa kusafirisha watu nadhani Chadema wanaelewa haya mambo vyema mtu wa ufipa mmoja achangie
 
Hajali kabisa hali ya kipato Cha wananchi.

Na wala hana mikakati yoyote ya kupanua uwanja wa ajira ili vijana wanaomaliza masomo yao waajiriwe.

Akiwa Kigoma ameongeza ahadi yake ya kununua vitu. Ameahidi kukarabati meli moja na kununua meli nyingine mpya mbili pamoja na kujenga reli mpya toka Kigoma mpk Burundi.

Watanzania tuwe makini.
 
Chama cha wasomali Dar, kimeamrisha watu wote wenye nasaba ya kisomali, ni lazima wajitokeze na kusheherekea ujio wa Raisi Magufuli Dar, na wameahidi kumpigia Kura zao zote Magufuli
 
Ccm kujaza ni kawaida yao kwaajili wanatembea na wasanii ,kushinda wanatumia nguvu kubwa ya jeshi,Nothing new
 
Sasa ninyi mnashindwa bipi kuwatumia wasanii ? Msitake kiji compare na CCM. Pambaneni na uwezo wenu!
Hatutaki wasaniii watu wanasikiliza hoja na sera na wanajaaa wala hakuna kutumia nguvu kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…