USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Na wewe panda ukamuone jpm
Milori na Mi fuso itakuwa na kazi kweli kweli ya kusombelea watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Milori na Mi fuso itakuwa na kazi kweli kweli ya kusombelea watu
Aisee
Ni mbinu kwenu mliyokaukiwa mvuto wa kweli kutoka kwa wananchi.Wasanii nao ni mbinu sema nyie pesa hakuna itakuwa mna shida sana
Ni kweli, Malori kutoka Manero Mango, Bagamoyo, Mdaura na maeneo mengine vijijini lazima yazibe barabaraKama amejaza hivyo Kigoma, Mwanza, Shinyanga, Kagera mpaka viwanja vikajaa na watu kubakia nje huku barabara zikiwa zimejaa, sipati picha hapa Dar...
Nyomi za kupangwa njiani utazijua tu kwa wingi wa mapolisiHivi kwa mnavyo fikili hapa Dar bila wasanii !. Watu hawawezi kwenda kumuona jpm ! Mara ngap msafar wake ulikuwa ukisimamishwa na nyomi!
Uoga waliojazwa kwa miaka mitano ya ukandamizaji.Sasa kama wanadai hela mbona bado wana perform!.Chadomo bana!
Dar itasimama na Tanzania itasimama.mama D Dar itasimama tulia utaja sema
Hao wasanii ni wafuasi wa huyo Mwamba, na followers wa hao wasanii ni followers wa huyo Mwamba na wamejiandikisha pia walihakiki taarifa zao za kupiga kuraSister unauliza swali wakt jibu unalo? Hakuna sehem mwamba ameenda peke yake kwenye kampeni bila utitiri wa wasanii
Magufuli anakubalika Dsm kuliko yote dunianiVipi mmeshaandaa scania na fuso ngapi kubeba raia kutoka mikoa ya pembezoni?
Na vipi siku hiyo mtawapa off wanafunzi tuu ama kwa watumishi wote wa umma?
Unforgetable
Sasa ninyi mnashindwa bipi kuwatumia wasanii ? Msitake kiji compare na CCM. Pambaneni na uwezo wenu!Ccm kujaza ni kawaida yao kwaajili wanatembea na wasanii ,kushinda wanatumia nguvu kubwa ya jeshi,Nothing new
Usije kukimbia kukwa muda ukifika
[/QUOTSawa kilave hatoboi
Hawa wote mapolisi?Nyomi za kupangwa njiani utazijua tu kwa wingi wa mapolisi
Hatutaki wasaniii watu wanasikiliza hoja na sera na wanajaaa wala hakuna kutumia nguvu kubwaSasa ninyi mnashindwa bipi kuwatumia wasanii ? Msitake kiji compare na CCM. Pambaneni na uwezo wenu!
Hiyo ina apply kote mkuu!Sasa mbona hao wamama wakienda kwenye mikutano ya Lisu sijakusikia ukilalamika??
[emoji1][emoji1][emoji1]Sio hivyo tuu Africa Tanzania Dar es salaam atafanyiwa mengi sana kama yeye alivyoitendea wema[emoji23][emoji23][emoji23]
Majibu kamili October 28, 2020