technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Ukipiga kura ya rais kwa Tundu Lissu, ujue unapiga kura ya katiba mpya, ujue unapiga kura kwa rais ambaye atarudisha uhuru na haki za wananchi, ujue unapiga kura kwa rais ambaye hatawasimanga..".Tundu Lissu. #Uchaguzi2020Dr Magufuli amewataka wakazi wa Kaliua kutofanya makosa ya kuchagua mbunge wa upinzani tena kwani duniani kote hakuna Upendo wa kumpa chakula mtoto wa jirani wakati wa kwako ana njaa.
Dr Magufuli amesema hata barabara ya Kaliua imejengwa kwa heshima ya mzee Kapuya hivyo wasimwangushe.
Tundu Lisu atakuwa na wakati mgumu sana mkoani Kagera kwa sababu CCM imefanya kampeni kisayansi sana na Dr Bashiru anaendelea kufukia mashimo.
Maendeleo hayana vyama!
Kumnadi siyo lazima agombee ubunge bwashee!..Profesa.Juma Athumani Kapuya anagombea ubunge?
Tundu Lissu anaonekana hakujiandaa kupigania kiti cha urais, anaendeshwa na hasira, hana mipango ya kufanya sweeping ya kutafuta kura, hana team.Ndiyo maana baada ya mwezi kuisha raha kampeni bara zitakuwa zimeisha, maana itakuwa ni upande mmoja tuDr Magufuli amewataka wakazi wa Kaliua kutofanya makosa ya kuchagua mbunge wa upinzani tena kwani duniani kote hakuna Upendo wa kumpa chakula mtoto wa jirani wakati wa kwako ana njaa.
Dr Magufuli amesema hata barabara ya Kaliua imejengwa kwa heshima ya mzee Kapuya hivyo wasimwangushe.
Tundu Lisu atakuwa na wakati mgumu sana mkoani Kagera kwa sababu CCM imefanya kampeni kisayansi sana na Dr Bashiru anaendelea kufukia mashimo.
Maendeleo hayana vyama!
Subiri kesho bwashee!Aya ya mwisho imekuzalilisha Comrade.
Aya ya kwanza imemzalilisha mwenyekiti wako ambaye ndiyo mgombea wenu.
Kweli kabisa.Dr Magufuli amewataka wakazi wa Kaliua kutofanya makosa ya kuchagua mbunge wa upinzani tena kwani duniani kote hakuna Upendo wa kumpa chakula mtoto wa jirani wakati wa kwako ana njaa.
Dr Magufuli amesema hata barabara ya Kaliua imejengwa kwa heshima ya mzee Kapuya hivyo wasimwangushe.
Tundu Lisu atakuwa na wakati mgumu sana mkoani Kagera kwa sababu CCM imefanya kampeni kisayansi sana na Dr Bashiru anaendelea kufukia mashimo.
Maendeleo hayana vyama!
Juzi akiwa sumbawanga kamwambia Kikwete anyamaze ale pension au file zake ziwekwe wazi na kweli kanyamaza duh.Wanahofia kila atakayenyanyua mdomo kashifa zake zitawekwa wazi, kumbuka Lissu sio Lowassa.
Hiv ananenga kwa pesa zake?Huyu mgombea haeleweki! Anaposema "maendelelo hayana vyama" anamaanisha anachosema?
Kayasema Simiyu, Mara, nk. na sasa kayarudia Tabora.
Je, majimbo ya wapinzani hawatoi kodi? Je, hiyo miradi ya maendeleo anatumia pesa zake binafsi?
View attachment 1575328