Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Wapi Butiku, Wapi Mangula, Wapi Kinana, Wapi makamba,Wapi Warioba.

Popote walipo hawa wazee mbona mwaka 2015 walikuwa busy Sana kusema Lowassa ni fisadi.

Vipi wamepata majibu tulipo waambia tatizo la nchi hii ni CCM na mfumo mbovu waliouhasisi?.

Njooni Mtetee vitambulisho vya Machinga wenye mitaji ya elfu 15 halafu wanatozwa kitambulisho Cha elf 20.

Njooni mtetee uwanja wa ndege chato.

Njooni mtetee Mbuga ya wanyama chato...

Nasema njooni tafadhari maana siwaoni majukwaani mkivitetea hivi vitu.

Tundu Lissu atawashangaza sana Mwaka huu lazima turudishe nchi yetu kwenye Uhuru Haki na maendeleo yao.

Hatuwezi kuendelea kuacha nchi chini ya Ngedere.

Tukutane October.
 
Dr Magufuli amewataka wakazi wa Kaliua kutofanya makosa ya kuchagua mbunge wa upinzani tena kwani duniani kote hakuna Upendo wa kumpa chakula mtoto wa jirani wakati wa kwako ana njaa.

Dkt. Magufuli amesema hata barabara ya Kaliua imejengwa kwa heshima ya mzee Kapuya hivyo wasimwangushe.

Tundu Lissu atakuwa na wakati mgumu sana mkoani Kagera kwa sababu CCM imefanya kampeni kisayansi sana na Dr Bashiru anaendelea kufukia mashimo.

Maendeleo hayana vyama!
 
Huyu mgombea haeleweki! Anaposema "maendelelo hayana vyama" anamaanisha anachosema? Kayasema Simiyu, Mara, nk. na sasa kayarudia Tabora.

Je, majimbo ya wapinzani hawatoi kodi? Je, hiyo miradi ya maendeleo anatumia pesa zake binafsi?

Watanzania hatuna hulka ya UBAGUZI, ukiona mtu ni mbaguzi waziwazi, basi huyo si mtanzania halisi.
Screenshot_20200920-175804.png

Screenshot_20200920-184603.png
 
Dr Magufuli amewataka wakazi wa Kaliua kutofanya makosa ya kuchagua mbunge wa upinzani tena kwani duniani kote hakuna Upendo wa kumpa chakula mtoto wa jirani wakati wa kwako ana njaa.

Dr Magufuli amesema hata barabara ya Kaliua imejengwa kwa heshima ya mzee Kapuya hivyo wasimwangushe.

Tundu Lisu atakuwa na wakati mgumu sana mkoani Kagera kwa sababu CCM imefanya kampeni kisayansi sana na Dr Bashiru anaendelea kufukia mashimo.

Maendeleo hayana vyama!
Ukipiga kura ya rais kwa Tundu Lissu, ujue unapiga kura ya katiba mpya, ujue unapiga kura kwa rais ambaye atarudisha uhuru na haki za wananchi, ujue unapiga kura kwa rais ambaye hatawasimanga..".Tundu Lissu. #Uchaguzi2020
 
Dr Magufuli amewataka wakazi wa Kaliua kutofanya makosa ya kuchagua mbunge wa upinzani tena kwani duniani kote hakuna Upendo wa kumpa chakula mtoto wa jirani wakati wa kwako ana njaa.

Dr Magufuli amesema hata barabara ya Kaliua imejengwa kwa heshima ya mzee Kapuya hivyo wasimwangushe.

Tundu Lisu atakuwa na wakati mgumu sana mkoani Kagera kwa sababu CCM imefanya kampeni kisayansi sana na Dr Bashiru anaendelea kufukia mashimo.

Maendeleo hayana vyama!
Tundu Lissu anaonekana hakujiandaa kupigania kiti cha urais, anaendeshwa na hasira, hana mipango ya kufanya sweeping ya kutafuta kura, hana team.Ndiyo maana baada ya mwezi kuisha raha kampeni bara zitakuwa zimeisha, maana itakuwa ni upande mmoja tu
Mfano katoka leo kigoma ndiyo basi tena, wananchi watasahau kuwa alipita Lissu akahutubia, mwezi mmoja kwa siasa ni muda mrefu. Ajihesabu amepoteza ajipange upya 2025.
 
Dr Magufuli amewataka wakazi wa Kaliua kutofanya makosa ya kuchagua mbunge wa upinzani tena kwani duniani kote hakuna Upendo wa kumpa chakula mtoto wa jirani wakati wa kwako ana njaa.

Dr Magufuli amesema hata barabara ya Kaliua imejengwa kwa heshima ya mzee Kapuya hivyo wasimwangushe.

Tundu Lisu atakuwa na wakati mgumu sana mkoani Kagera kwa sababu CCM imefanya kampeni kisayansi sana na Dr Bashiru anaendelea kufukia mashimo.

Maendeleo hayana vyama!
Kweli kabisa.

Subiri BAVICHA waje hapa kukupopoa[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom