Wapi Butiku, Wapi Mangula, Wapi Kinana, Wapi makamba,Wapi Warioba.
Popote walipo hawa wazee mbona mwaka 2015 walikuwa busy Sana kusema Lowassa ni fisadi.
Vipi wamepata majibu tulipo waambia tatizo la nchi hii ni CCM na mfumo mbovu waliouhasisi?.
Njooni Mtetee vitambulisho vya Machinga wenye mitaji ya elfu 15 halafu wanatozwa kitambulisho Cha elf 20.
Njooni mtetee uwanja wa ndege chato.
Njooni mtetee Mbuga ya wanyama chato...
Nasema njooni tafadhari maana siwaoni majukwaani mkivitetea hivi vitu.
Tundu Lissu atawashangaza sana Mwaka huu lazima turudishe nchi yetu kwenye Uhuru Haki na maendeleo yao.
Hatuwezi kuendelea kuacha nchi chini ya Ngedere.
Tukutane October.