Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anamnadi kwa unafikiKumnadi siyo lazima agombee ubunge bwashee!
Bwashee hata hujui mgombea wa CCM Kaliua ni nani? Naona umekuja mbio mbio ilimradi uitaje Chadema. Kwataarifa yako Tundu Lissu Kagera anaenda kuwa mfalme!Dr Magufuli amewataka wakazi wa Kaliua kutofanya makosa ya kuchagua mbunge wa upinzani tena kwani duniani kote hakuna Upendo wa kumpa chakula mtoto wa jirani wakati wa kwako ana njaa.
Dr Magufuli amesema hata barabara ya Kaliua imejengwa kwa heshima ya mzee Kapuya hivyo wasimwangushe.
Tundu Lisu atakuwa na wakati mgumu sana mkoani Kagera kwa sababu CCM imefanya kampeni kisayansi sana na Dr Bashiru anaendelea kufukia mashimo.
Maendeleo hayana vyama!
Wewe unamjua mgombea wa Kaliua?!Bwashee hata hujui mgombea wa CCM Kaliua ni nani? Naona umekuja mbio mbio ilimradi uitaje Chadema. Kwataarifa yako Tundu Lissu Kagera anaenda kuwa mfalme!
Dr Magufuli amewataka wakazi wa Kaliua kutofanya makosa ya kuchagua mbunge wa upinzani tena kwani duniani kote hakuna Upendo wa kumpa chakula mtoto wa jirani wakati wa kwako ana njaa.
Dr Magufuli amesema hata barabara ya Kaliua imejengwa kwa heshima ya mzee Kapuya hivyo wasimwangushe.
Tundu Lisu atakuwa na wakati mgumu sana mkoani Kagera kwa sababu CCM imefanya kampeni kisayansi sana na Dr Bashiru anaendelea kufukia mashimo.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa mkwewe kweziKaliua wamelianzisha Mapema kwa nyomi kubwaaa
Duu wote hao kwa mtu mmojaMizengo Pinda Anapasha joto Arusha,Manyara na Kilimanjaro huku Samia Suluhu akitoa sauti mororo huko kusini Peramiho.
Dada Ummy Mwalimu Kaishika Tanga kisawasawa.
Kaskazini Unguja Kwa utulivu Mwinyi Juniour anamwaga Sera .
Kwa nini Magufuli ni Mbaguzi sana?Dr Magufuli amewataka wakazi wa Kaliua kutofanya makosa ya kuchagua mbunge wa upinzani tena kwani duniani kote hakuna Upendo wa kumpa chakula mtoto wa jirani wakati wa kwako ana njaa.
Dr Magufuli amesema hata barabara ya Kaliua imejengwa kwa heshima ya mzee Kapuya hivyo wasimwangushe.
Tundu Lisu atakuwa na wakati mgumu sana mkoani Kagera kwa sababu CCM imefanya kampeni kisayansi sana na Dr Bashiru anaendelea kufukia mashimo.
Maendeleo hayana vyama!
Bado wapo wa akiba ...CCM ina hazina ya wapiga kampeniDuu wote hao kwa mtu mmoja
Kumpigia kura Lissu ni kupoteza kura yako bure, maana hawezi shinda. Huu ukweli sijui kwanini unakuwa mgumu kwenu wana saccos wa Ufipa. Magufuli 5 tena.Ukipiga kura ya rais kwa Tundu Lissu, ujue unapiga kura ya katiba mpya, ujue unapiga kura kwa rais ambaye atarudisha uhuru na haki za wananchi, ujue unapiga kura kwa rais ambaye hatawasimanga..".Tundu Lissu. #Uchaguzi2020
Mkuu pamoja na pinda kuwa arusha,mkitano Wa gambo ni tumafuriko sio mafuriko,wana hali mbaya huku chuga..Mizengo Pinda Anapasha joto Arusha,Manyara na Kilimanjaro huku Samia Suluhu akitoa sauti mororo huko kusini Peramiho.
Dada Ummy Mwalimu Kaishika Tanga kisawasawa.
Kaskazini Unguja Kwa utulivu Mwinyi Juniour anamwaga Sera .

Pinda anapita wilaya zunguka za Arusha...hapo mjini kati yupo kinana...halafu omba picha uleteweMkuu pamoja na pinda kuwa arusha,mkitano Wa gambo ni tumafuriko sio mafuriko,wana hali mbaya huku chuga..View attachment 1575391
John tayari dishi limeng'oka kabisa no signalAya ya mwisho imekuzalilisha Comrade.
Aya ya kwanza imemzalilisha mwenyekiti wako ambaye ndiyo mgombea wenu.