Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huw naangalia channel za youtube Lisu anapata mapokezi makubwa tu kama leo tafuta video sema sababu vyombo vya habari vimezuiwa kuripotiLeteni basi tuzione , mnapita kimya kimya kama mmenyeshewa mvua
Wanaona aibu....kigoma mbona hatuzioni picha za nyomi?.
Dar itoe, kwa watu waliojitokeza kawe na segerea hakuna kitu hapo, labda apige kampeni upyaKumbe hawa hawaendi kumshangaa Magufuli ila wakifurika kwa Lissu wanaenda kumshangaa?....
Kaliua leoLeteni basi tuzione , mnapita kimya kimya kama mmenyeshewa mvua
Mikutano ya wabunge wachache sio ya tundu lisuKama hawa makamanda walioko kwenye mabus kwenda kwenye mkutano na hakuna watoto kwenye mikutano yenu? View attachment 1575574View attachment 1575576View attachment 1575580
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Tatizo hawa watu huwezi kuamini kama wameenda kwa sababu wanamwunga mkono mgombea au kwa sababu wanelazimishwa. Kila anakopita Magufuli, wafanyakazi na wanafunzi wanalazimishwa kujipanga njiani. Wanalazimishwa kwenda kuongeza vichwa kama alivyosema Mama yetu wa Taifa, Maria Nyerere.Kaliua wametisha! Yaani bado kuna watu wanaamini wanachukua nchi hapo oktoba ! Tuwape pole sana Sisi kazi yetu ni kuwaletea picha tu kama hivi ili baadae msije kusema mliibiwa kura! Hapa ni njiani tu Jpm anapita!. View attachment 1575468View attachment 1575469
Tarehe 28 oktoba utaelewa vizuri. Siku zinakaribia, usiwe na wasiwasi.Tatizo hawa watu huwezi kuamini kama wameenda kwa sababu wanamwunga mkono mgombea au kwa sababu wanelazimishwa. Kila anakopita Magufuli, wafanyakazi na wanafunzi wanalazimishwa kujipanga njiani. Wanalazimishwa kwenda kuongeza vichwa kama alivyosema Mama yetu wa Taifa, Maria Nyerere.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mikutano.au fiesta ya bure?[emoji23][emoji23]Waambieni cdm na Lissu wajiandae kisaikologia. Kumbuka kuna Makamu wa Rais mh Mama Samia yuko Waziri Mkuu mh Majaliwa, wote hawa wanafanya kampeni sambamba na JPM. Sioni ni jinsi gani Lissu atafikisha kura asilimia kumi, sioni. Huu ndio ukweli mchungu. Nikionacho atakacho kimbilia ni kusingizia kuibiwa kura.
Pawepo mkakati wa kuprempty huu upotoshaji utakaofanywa na Lissu na cdm. Hawana namna nyingine zaidi kuwa watasema wameibiwa kura. Na ndio maana wanafanya mikutano yao kwenye maeneo madogo madogo wananchi walio hudhuria waonekane wamejaa na kubanana ingawaje ni wachache mno ukilinganisha na wanao hudhuria mikutano ya mgombea wa CCM.
Fiesta la bure.
Pumba sana ww!Kumbe hawa hawaendi kumshangaa Magufuli ila wakifurika kwa Lissu wanaenda kumshangaa?
Mikoa na majiji ambayo Lissu atashinda ni Dar, Zanzibar,Arusha,Mwanza,Mbeya,
Mikoa Mtwara, Iringa,Kagera, Kilimanjaro, Manyara, singida, Kigoma, Mara,Songwe.
Mikoa ambayo watagawana kura Dodoma, Morogoro, Shinyanga, Njombe, Ruvuma.
Mikoa ambayo yeye atashinda Geita, Simiyu, Katavi Rukwa Lindi na Tabora
Sasa mtu Kama huyu ana chake kweli?
Kila mtu ashinde mechi zake yaani Jiwe ni nyumbani mapema Sana October.
Wanaenda kumuona harmonize.Watumishi wote wamebebwa hapo na wanafunzi wao Kila shule, bado wananchi wasiojielewa unategemea wasijaze, ukijitambua huwezi wawaza hawa mbogamboga
Una wazimu, Lissu akipata angalau 20% ya kura, atakuwa amefanikiwa ile mbaya!Kumbe hawa hawaendi kumshangaa Magufuli ila wakifurika kwa Lissu wanaenda kumshangaa?
Mikoa na majiji ambayo Lissu atashinda ni Dar, Zanzibar,Arusha,Mwanza,Mbeya,
Mikoa Mtwara, Iringa,Kagera, Kilimanjaro, Manyara, singida, Kigoma, Mara,Songwe.
Mikoa ambayo watagawana kura Dodoma, Morogoro, Shinyanga, Njombe, Ruvuma.
Mikoa ambayo yeye atashinda Geita, Simiyu, Katavi Rukwa Lindi na Tabora
Sasa mtu Kama huyu ana chake kweli?
Kila mtu ashinde mechi zake yaani Jiwe ni nyumbani mapema Sana October.
Yaani kwa Dar Lissu asahau na kama huamini subiri uone Jpm atakapo fika Dar yani hapo ndo funga kazi! Dar ya sasa sio ya 2015 Msiishi kwa kukariri chadomo!Kumbe hawa hawaendi kumshangaa Magufuli ila wakifurika kwa Lissu wanaenda kumshangaa?
Mikoa na majiji ambayo Lissu atashinda ni Dar, Zanzibar,Arusha,Mwanza,Mbeya,
Mikoa Mtwara, Iringa,Kagera, Kilimanjaro, Manyara, singida, Kigoma, Mara,Songwe.
Mikoa ambayo watagawana kura Dodoma, Morogoro, Shinyanga, Njombe, Ruvuma.
Mikoa ambayo yeye atashinda Geita, Simiyu, Katavi Rukwa Lindi na Tabora
Sasa mtu Kama huyu ana chake kweli?
Kila mtu ashinde mechi zake yaani Jiwe ni nyumbani mapema Sana October.
[emoji23][emoji23][emoji23] watu wamedandia unasema wamesombwa?Kama hawa makamanda walioko kwenye mabus kwenda kwenye mkutano na hakuna watoto kwenye mikutano yenu? View attachment 1575574View attachment 1575576View attachment 1575580
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Yaani ufunguzi wa kampeni Zakhem unatosha kusema Lissu hawezi shinda Dar !! Yaani Dar ya sasa Jpm anakubalika sana!.Dar itoe, kwa watu waliojitokeza kawe na segerea hakuna kitu hapo, labda apige kampeni upya
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app