Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Ukipiga kura ya rais kwa Tundu Lissu, ujue unapiga kura ya katiba mpya, ujue unapiga kura kwa rais ambaye atarudisha uhuru na haki za wananchi, ujue unapiga kura kwa rais ambaye hatawasimanga..".Tundu Lissu. #Uchaguzi2020

Achana na takataka za ccm
 
CCM aliharibu kikwete na wajinga wenzie kutuletea huyu mshamba pori
 
Ukipiga kura ya rais kwa Tundu Lissu, ujue unapiga kura ya katiba mpya, ujue unapiga kura kwa rais ambaye atarudisha uhuru na haki za wananchi, ujue unapiga kura kwa rais ambaye hatawasimanga..".Tundu Lissu. #Uchaguzi2020

Achana na takataka za ccm
 
Mizengo Pinda Anapasha joto Arusha,Manyara na Kilimanjaro huku Samia Suluhu akitoa sauti mororo huko kusini Peramiho.
Dada Ummy Mwalimu Kaishika Tanga kisawasawa.
Kaskazini Unguja Kwa utulivu Mwinyi Juniour anamwaga Sera .
 
..Profesa.Juma Athumani Kapuya anagombea ubunge?
Usishangae ndugu yangu! Jahazi linazama na mizimu yote iliyoitafuna taifa hili inabidi ifukuliwe isaidie kuliokoa. Timu toka 1995 hadi 2020 lazima zifukuliwe ili kama ni kuzama wazame pamoja kwa pigo moja la Mh. Tundu Antiphas Lissu. Watakaokosa ni wale tu waliotangulia mbele ya haki. CCM ni ile ile.
 
Hayo maneno aliyotamka Magufuli hapo juu yanaonesha wazi HAFAI kuendelea kuwa Rais wa Tanzania, hana hekima, ni mropokaji na mkurupukaji.
 
Huyu mzee sijui kwanini hataki kubadilika kadri oktoba 28 inavyokaribia ndio anazidi kuvuruga
 
Yaani Lissu ana wakati mgumu Kagera????πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kagera ipi ya Chato au hii ambayo Bashiru anawatisha wana CCM kuwa wasikihujumu Chama au watamalizwa????
 
Sihaelewa ...unasema Kapuya anagombea Ubunge!Aisee Kama ndivyo Basi Wanyamwezi Kuna shida!
 
Hujui majukumu ya hao wazee uliowataja kaa kimya.Mfano mdogo tu, unataka Butiku ampigie kampeni mgombea wa ccm, je unajua wadhifa wake na ni taasisi gani.Fanya home work yako.
 
Ni vizuri mida hii mngeitumia kumfundisha magufuli wenu aache kutoa maneno ya kuwabagua watanzania kimaendeleo wakati watanzania wote wanalipa kodi
 
Mizengo Pinda Anapasha joto Arusha,Manyara na Kilimanjaro huku Samia Suluhu akitoa sauti mororo huko kusini Peramiho.
Dada Ummy Mwalimu Kaishika Tanga kisawasawa.
Kaskazini Unguja Kwa utulivu Mwinyi Juniour anamwaga Sera .
Makamanda uchwara wamekaa wakimtegemea mnyoa kiduku na buti lake la jeje awaletee ushindi. Kazi ipo mwaka huu.
 
Mizengo Pinda Anapasha joto Arusha,Manyara na Kilimanjaro huku Samia Suluhu akitoa sauti mororo huko kusini Peramiho.
Dada Ummy Mwalimu Kaishika Tanga kisawasawa.
Kaskazini Unguja Kwa utulivu Mwinyi Juniour anamwaga Sera .
Pinda kumpa kanda ya Kaskazini mmemuonea, ni sawa na sisimizi tu, haonekani wala hasikiki.

Samia kanda ya Kusini nae anajifurahisha tu, watu wana hasira na korosho zao mlivyowachezea hata hawana hamu nae, nadhani unamuona Salma Kikwete anavyohangaika kuchambua mchele kwenye nyumba za watu huko kusini, hadi vidole vitaota sugu.

Ummy Tanga labda mumfanyie mpango tu kwasababu ndie "kipepeo" cha "jiwe".

Huko Zanzibar ndio kabisa, kila siku mnawaengua wagombea wa ACT angalau mpate nafuu, naskia mmeshapeleka wanajeshi wakapige kura tarehe 27.10. "20, bila kuchovya vidole vyao kwenye wino, halafu warudie tena kupiga kura 28.10."20.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…