Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Mikoa na wilaya masikini sana kama huko Kaliua, Kongwa. CCM wanashinda kirahisi! Lipo la kutafakari hapo.
 
Leteni basi tuzione , mnapita kimya kimya kama mmenyeshewa mvua
Huw naangalia channel za youtube Lisu anapata mapokezi makubwa tu kama leo tafuta video sema sababu vyombo vya habari vimezuiwa kuripoti
Hizo nyomi za magufuli janja janja nyingi watu siku hawashtuki hapo utakuta nusu wanafunzi nusu wamesombwa na malori nusu wamefuata wasanii
 
Waambieni Chadema na Lissu wajiandae kisaikologia. Kumbuka kuna Makamu wa Rais mh Mama Samia yuko Waziri Mkuu mh Majaliwa, wote hawa wanafanya kampeni sambamba na JPM. Sioni ni jinsi gani Lissu atafikisha kura asilimia kumi, sioni. Huu ndio ukweli mchungu. Nikionacho atakacho kimbilia ni kusingizia kuibiwa kura.

Pawepo mkakati wa kuprempty huu upotoshaji utakaofanywa na Lissu na cdm. Hawana namna nyingine zaidi kuwa watasema wameibiwa kura. Na ndio maana wanafanya mikutano yao kwenye maeneo madogo madogo wananchi walio hudhuria waonekane wamejaa na kubanana ingawaje ni wachache mno ukilinganisha na wanao hudhuria mikutano ya mgombea wa CCM.
 
Watumishi wote wamebebwa hapo na wanafunzi wao Kila shule, bado wananchi wasiojielewa unategemea wasijaze, ukijitambua huwezi wawaza hawa mbogamboga
 
Tatizo hawa watu huwezi kuamini kama wameenda kwa sababu wanamwunga mkono mgombea au kwa sababu wanelazimishwa. Kila anakopita Magufuli, wafanyakazi na wanafunzi wanalazimishwa kujipanga njiani. Wanalazimishwa kwenda kuongeza vichwa kama alivyosema Mama yetu wa Taifa, Maria Nyerere.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tarehe 28 oktoba utaelewa vizuri. Siku zinakaribia, usiwe na wasiwasi.
 
Wasanii kivutio cha watu.

Nani ana akili timamu aje kumsikiliza jiwe?
 
Mikutano.au fiesta ya bure?[emoji23][emoji23]
 
Pumba sana ww!
 
Watumishi wote wamebebwa hapo na wanafunzi wao Kila shule, bado wananchi wasiojielewa unategemea wasijaze, ukijitambua huwezi wawaza hawa mbogamboga
Wanaenda kumuona harmonize.

Wala haitupi tabu.

Ccm hawapendwi hata kidogo ndio maana nguvu kubwa ya kufanya watu waje inatumika kama wanafunzi, wasanii na watumishi wangekuwa wanafanya kama lissu mngecheka kufa watu wangekuwa hamna. Huu ni ukweli mchungu hata jiwe anafahamu.
 
Una wazimu, Lissu akipata angalau 20% ya kura, atakuwa amefanikiwa ile mbaya!
 
Yaani kwa Dar Lissu asahau na kama huamini subiri uone Jpm atakapo fika Dar yani hapo ndo funga kazi! Dar ya sasa sio ya 2015 Msiishi kwa kukariri chadomo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…