Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Kwani magufuli ni baga? Tundu ndie mgeni kwa sasa ndani ya nchi Magifuli yupo Tz muda wote,
Pia mmekuwa mnasema watu wanaenda kuona wanamziki, sasa hapo kuna mziki au wasanii?
 
Wewe unaota siyo bure. Mpaka Zanzibar umeita Mkoa.
 
Mbona mna hoja za kitoto sana ! Utamlazimishaje mtu aende kwa mgombea asiyempenda ?
 
Katika wilaya ngumu kwa ccm ni kaliua unaongea usicho kijua
Hata hajielewi huyu. Mbunge wa hapo ni Magdalena Sakaya, aliupata ubunge kwa mgongo wa Chadema chini ya mwavuli wa UKAWA.

Kaliua bila zao la tumbaku kupata ufumbuzi wa bei ni ngumu Sana ccm kupata kura.
 
Kampeni za CCM zinafanyika kisayansi na ki strategy zaidi ! PM , Makamu wa Rais na Rais wote wanaomba kura sehemu mbalimabli za nchi hii ! Achilia mbali Wabunge! Alafu anakuja nyumbu mmoja eti Lissu anashinda uchaguzi! How come!.
 
Mikoa na wilaya masikini sana kama huko Kaliua, Kongwa ........ Ccm wanashinda kirahisi! Lipo la kutafakari hapo...
Siyo kweli mkuu. Kaliua ina majimbo 2, Kaliua na Ulilyankuru. Mbunge anayemaliza muda wake Kaliua ni wa upinzani. Labda kule Ulyankuru qmbako hata mwaka huu mgombea wa Chadema amejitoa.
 
Yaani ufunguzi wa kampeni Zakhem unatosha kusema Lissu hawezi shinda Dar !! Yaani Dar ya sasa Jpm anakubalika sana!.
Lisu atazoa kura nyingi dar mikutano iliyofanyika kulikuwa na muingiliano na sherehe za Simba na yanga
 
Yule jamaa wa kiki alipopita hapa, alitudanganya eti kaliua tren haifanyi kaziii, hivyo tukimchagua yeye atatujengea yakwenda mombaa, yaaaniiii tuliiiicheeekaaa.
 
Kampeni za CCM zinafanyika kisayansi na ki strategy zaidi ! PM , Makamu wa Rais na Rais wote wanaomba kura sehemu mbalimabli za nchi hii ! Achilia mbali Wabunge! Alafu anakuja nyumbu mmoja eti Lissu anashinda uchaguzi! How come!.
Lissu anawakosesha usingizi mbwa nyie.....!

Mtajua hamjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…