Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Kumbe hawa hawaendi kumshangaa Magufuli ila wakifurika kwa Lissu wanaenda kumshangaa?

Mikoa na majiji ambayo Lissu atashinda ni Dar, Zanzibar,Arusha,Mwanza,Mbeya,

Mikoa Mtwara, Iringa,Kagera, Kilimanjaro, Manyara, singida, Kigoma, Mara,Songwe.

Mikoa ambayo watagawana kura Dodoma, Morogoro, Shinyanga, Njombe, Ruvuma.

Mikoa ambayo yeye atashinda Geita, Simiyu, Katavi Rukwa Lindi na Tabora

Sasa mtu Kama huyu ana chake kweli?

Kila mtu ashinde mechi zake yaani Jiwe ni nyumbani mapema Sana October.
Kwani magufuli ni baga? Tundu ndie mgeni kwa sasa ndani ya nchi Magifuli yupo Tz muda wote,
Pia mmekuwa mnasema watu wanaenda kuona wanamziki, sasa hapo kuna mziki au wasanii?
 
Kumbe hawa hawaendi kumshangaa Magufuli ila wakifurika kwa Lissu wanaenda kumshangaa?

Mikoa na majiji ambayo Lissu atashinda ni Dar, Zanzibar,Arusha,Mwanza,Mbeya,

Mikoa Mtwara, Iringa,Kagera, Kilimanjaro, Manyara, singida, Kigoma, Mara,Songwe.

Mikoa ambayo watagawana kura Dodoma, Morogoro, Shinyanga, Njombe, Ruvuma.

Mikoa ambayo yeye atashinda Geita, Simiyu, Katavi Rukwa Lindi na Tabora

Sasa mtu Kama huyu ana chake kweli?

Kila mtu ashinde mechi zake yaani Jiwe ni nyumbani mapema Sana October.
Wewe unaota siyo bure. Mpaka Zanzibar umeita Mkoa.
 
Tatizo hawa watu huwezi kuamini kama wameenda kwa sababu wanamwunga mkono mgombea au kwa sababu wanelazimishwa. Kila anakopita Magufuli, wafanyakazi na wanafunzi wanalazimishwa kujipanga njiani. Wanalazimishwa kwenda kuongeza vichwa kama alivyosema Mama yetu wa Taifa, Maria Nyerere.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mna hoja za kitoto sana ! Utamlazimishaje mtu aende kwa mgombea asiyempenda ?
 
Katika wilaya ngumu kwa ccm ni kaliua unaongea usicho kijua
Hata hajielewi huyu. Mbunge wa hapo ni Magdalena Sakaya, aliupata ubunge kwa mgongo wa Chadema chini ya mwavuli wa UKAWA.

Kaliua bila zao la tumbaku kupata ufumbuzi wa bei ni ngumu Sana ccm kupata kura.
 
Waambieni cdm na Lissu wajiandae kisaikologia. Kumbuka kuna Makamu wa Rais mh Mama Samia yuko Waziri Mkuu mh Majaliwa, wote hawa wanafanya kampeni sambamba na JPM. Sioni ni jinsi gani Lissu atafikisha kura asilimia kumi, sioni. Huu ndio ukweli mchungu. Nikionacho atakacho kimbilia ni kusingizia kuibiwa kura.

Pawepo mkakati wa kuprempty huu upotoshaji utakaofanywa na Lissu na cdm. Hawana namna nyingine zaidi kuwa watasema wameibiwa kura. Na ndio maana wanafanya mikutano yao kwenye maeneo madogo madogo wananchi walio hudhuria waonekane wamejaa na kubanana ingawaje ni wachache mno ukilinganisha na wanao hudhuria mikutano ya mgombea wa CCM.
Kampeni za CCM zinafanyika kisayansi na ki strategy zaidi ! PM , Makamu wa Rais na Rais wote wanaomba kura sehemu mbalimabli za nchi hii ! Achilia mbali Wabunge! Alafu anakuja nyumbu mmoja eti Lissu anashinda uchaguzi! How come!.
 
Mikoa na wilaya masikini sana kama huko Kaliua, Kongwa ........ Ccm wanashinda kirahisi! Lipo la kutafakari hapo...
Siyo kweli mkuu. Kaliua ina majimbo 2, Kaliua na Ulilyankuru. Mbunge anayemaliza muda wake Kaliua ni wa upinzani. Labda kule Ulyankuru qmbako hata mwaka huu mgombea wa Chadema amejitoa.
 
Tunaona juhudi za mafuso, trekta, mikokoteni!
Nioneshe mafuso na matrekta hapo! By the way hawa apa vipi wanaenda kwa miguu?
IMG_20200920_091110_417.jpg
 
Kaliua wametisha! Yaani bado kuna watu wanaamini wanachukua nchi hapo oktoba ! Tuwape pole sana Sisi kazi yetu ni kuwaletea picha tu kama hivi ili baadae msije kusema mliibiwa kura! Hapa ni njiani tu Jpm anapita!. View attachment 1575468View attachment 1575469
Yule jamaa wa kiki alipopita hapa, alitudanganya eti kaliua tren haifanyi kaziii, hivyo tukimchagua yeye atatujengea yakwenda mombaa, yaaaniiii tuliiiicheeekaaa.
 
Kampeni za CCM zinafanyika kisayansi na ki strategy zaidi ! PM , Makamu wa Rais na Rais wote wanaomba kura sehemu mbalimabli za nchi hii ! Achilia mbali Wabunge! Alafu anakuja nyumbu mmoja eti Lissu anashinda uchaguzi! How come!.
Lissu anawakosesha usingizi mbwa nyie.....!

Mtajua hamjui
 
Back
Top Bottom