Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Wananchi wa Tanzania ndio tunaamua kiongozi wa Taifa sio Chadema. Wananchi hatutaki majimbo.Asituchagulie wa kutuongoza yeye hana hati miliki ya Tanzania.
... mambo ya teuzi kulipa fadhila hayo! Bila teuzi ata-exercise vipi mamlaka yake? Ataonesha vipi kwamba ndiye alpha na omega? Ikimpendeza humpa huyu na kumnyima yule bila yeyote kuhoji! Mfumo unatakiwa kufumuliwa na kusukwa upya vinginevyo kama nchi hatutoki kwa huu "uraisi wa kifalme" hata aje Jibril tutapiga maktaimu tu!Majimbo na mikoa vinatofautiana nini?
Sisi tunataka wote wanaoongoza wachaguliwe na wananchi. Siyo huu ujinga wa sasa!
Hamtaki majimbo lakini mnaendekeza ubaguzi.Wananchi wa Tanzania ndio tunaamua kiongozi wa Taifa sio Chadema. Wananchi hatutaki majimbo.
Mnagwaya mdahaloKwenye ratiba ya NEC umeona kuna siku ya mdahalo... Tunakimbizana na muda, Tunatekeleza.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Lakini yeye ndo anayewagawa waTanzania, kwamba hapeleki maendeleo kwenye majimbo ya wapinzani. Nadhani hiyo mianya ya kuwa na sera ya majimbo ni yeye mwenyewe anachochea.Akiwa Urambo JPM amewaonya watanzania kuwakataa wanaohubiri kuigawa nchi katika majimbo, sera hiyo ni hatari kwa mstakali wa umoja wa Taifa letu,amesema sera hiyo ni ubaguzi mtupu kwani majombo masikini yatabaki maskini.
Wazee wa kulamba miguuni. Kukosa soko maana yake nini?Nimemsikiliza hajasema bei imeshuka ila kasema soko limekosekana kutokana na corona
Ni kweli ila hutolewa kwa percentage ya contribution uliyotoa kuchangia uendeshaji wa serikali kuu kupitia makusanyo ya kodi ya serikali kuu kwako mfano ulikusanya kodi za serikali kuu kwenye eneo lako za milioni 100 e.g. kodi ya majengo au ardhi serikali kuu inakupa milioni 30Kuna hela zitatoka central government kwa akili ya miradi ya maendeleo kama jimbo halijitoshelezi.
Unaposikia Sera ya majimbo unaelewaje kwani??? Unafikiri Mkoa ni jimbo au unafikiri ni majimbo haya ya uchaguzi ya wabunge????Singida kwa Lisu wanakotegemea kuuza alizeti wataongoza kwa umaskini Tanzania
Hakika umenena mkuu... hakuna eneo la Tanzania ambalo ni maskini kwa asili yake; ni sera mbovu ndizo zimepelekea umaskini wa kutisha kwa baadhi ya maeneo kama sio nchi nzima. Nchi hii ni tajiri kila mahali - watu wapo; ardhi ipo tele kila mahali! Changamoto iko kwenye SIASA SAFI na UONGOZI BORA - as simple as that!
Sera za majimbo Lengo lake asiweko mnyonya mwingine .Hata uunge Singida na mtwara liwe Jimbo moja sio kuwa gesi ya mtwara mapato yake atayafaidi muuza alizeti lofa singidaUnaposikia Sera ya majimbo unaelewaje kwani??? Unafikiri Mkoa ni jimbo au unafikiri ni majimbo haya ya uchaguzi ya wabunge????
Sera ya majimbo ya Tundu Lissu anaamaanisha kuunganisha mikoa na kuifanya Jimbo moja nyie vilaza wa Lumumba. Sasa kama Singida, Dodoma, Tabora na Morogoro ikiwa Jimbo moja la kati itakuwaje wakakosa maendeleo???
Tatizo ni akili yako??? China , Marekani na Ujerumani magavana wanafaidi nini???Sera za majimbo Lengo lake asiweko mnyonya mwingine .Hata uunge Singida na mtwara liwe Jimbo moja sio kuwa gesi ya mtwara mapato yake atayafaidi muuza alizeti lofa singida
Mtawala wa serikali ya Jimbo anaitwa gavana. SERIKALI yake huendeshwa kwa kila mikoa ndani ya Jimbo kuchangia gharama za uendeshaji na mapato ya mkoa mmoja kwenye Jimbo huwezi peleka mkoa mwingine
Tutachagua mtanzania,Asituchagulie wa kutuongoza yeye hana hati miliki ya Tanzania.
Ni maraisi wa majimbo kama sisi tunavyochagua raisi wa Zanzibar ndivyo ilivyo kuleTatizo ni akili yako??? China , Marekani na Ujerumani magavana wanafaidi nini???
Hoja kuntuAkiwa Urambo JPM amewaonya watanzania kuwakataa wanaohubiri kuigawa nchi katika majimbo, sera hiyo ni hatari kwa mstakali wa umoja wa Taifa letu,amesema sera hiyo ni ubaguzi mtupu kwani majombo masikini yatabaki maskini.
Mzee wa kupotosha waulize AmsterdamWazee wa kulamba miguuni. Kukosa soko maana yake nini?