Huyu mzee anadhania hii nchi ni mali ya CCM, atuonyeshe kwanza cheti chake cha kuzaliwa ndio tuendelee na mambo mengine.Akiwa Urambo JPM amewaonya watanzania kuwakataa wanaohubiri kuigawa nchi katika majimbo, sera hiyo ni hatari kwa mstakali wa umoja wa Taifa letu,amesema sera hiyo ni ubaguzi mtupu kwani majombo masikini yatabaki maskini.