Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Akiwa Urambo JPM amewaonya watanzania kuwakataa wanaohubiri kuigawa nchi katika majimbo, sera hiyo ni hatari kwa mstakali wa umoja wa Taifa letu,amesema sera hiyo ni ubaguzi mtupu kwani majombo masikini yatabaki maskini.
Huyu mzee anadhania hii nchi ni mali ya CCM, atuonyeshe kwanza cheti chake cha kuzaliwa ndio tuendelee na mambo mengine.
 
Kuna umuhimu wa mdahalo ili wabishane kwa hoja na sisi tuchambue!
Wabishane Nini
Seriikali za majimbo hapo Kenya tu zipo mtu hahitaji kwennda ulaya au Marekani kuzijua

South Africa zipo Sudan zipo Nigeria zipo Ghana zipo India zipo is not a big deal .CCM tunazijua
 
... hakuna eneo la Tanzania ambalo ni maskini kwa asili yake; ni sera mbovu ndizo zimepelekea umaskini wa kutisha kwa baadhi ya maeneo kama sio nchi nzima. Nchi hii ni tajiri kila mahali - watu wapo; ardhi ipo tele kila mahali! Changamoto iko kwenye SIASA SAFI na UONGOZI BORA - as simple as that!
Wewe umemaliza kila kitu.mchawi wetu ni hayo uliyoyataja.Yaani zulivyokosa hivyo vitu ndio tumeangukia kwenye umaskini,ujinga na maradhi.Sasa kurekebisha hayo lazima tufumue mfumo mzima unaolea hayo matatizo miaka na miaka nakuleta mfumo mpya.Sasa kwavile ccm ndio wanaoongoza ni dhahiri wao ndio waliotufikisha hapa.
 
IMG_20200921_120258.jpg
IMG_20200921_120255.jpg
IMG_20200921_121131.jpg
 
Bado malofa tu umesahau kuweka kuku na mbuzi
.... mbona una-expose ujinga? Unakubali as of now Singida kwa Lissu ni malofa na maskini wa kutupwa; ni kwa sababu ya sera ya majimbo inayoongoza nchi kwa sasa ama?
 
Majimbo siyo mikoa jinga wewe.

Chadema mpaka sasa chama chao kinaendeshwa kimajimbo hawana mikoa.
Wewe mweupe kichwani majimbo huundwa na Mikoa inaitwa counties ndio maana hata hiyo mijimbo yenu Koko ya Chadema Ina mijimbo ya Msigwa ,sugu nk
Tatizo mnaweka sera ambayo hata hamuijui inamaanisha Nini ndio maana Lisu hawezi hata kufafanua kichwani mweupe!! Hana alijualo

Kwa taatifa sera ya majimbo ilianzishwa kipindi Cha Slaa na Lowasa wakitaka Mikoa ya kaskazini ijitenge ili utajiri wote wa utalii wale wenyewe kuwa waweza ishi wenyewe!! Wajinga mkaunga mkono akiwemo Lisu
 
Wabishane Nini
Seriikali za majimbo hapo Kenya tu zipo mtu hahitaji kwennda ulaya au Marekani kuzijua

South Africa zipo Sudan zipo Nigeria zipo Ghana zipo India zipo is not a big deal .CCM tunazijua
Mdahalo ni muhimu!
 
Wewe mweupe kichwani majimbo huundwa na Mikoa inaitwa counties ndio maana hata hiyo mijimbo yenu Koko ya Chadema Ina mijimbo ya Msigwa ,sugu nk
Tatizo mnaweka sera ambayo hata hamuijui inamaanisha Nini ndio maana Lisu hawezi hata kufafanua kichwani mweupe!! Hana alijualo

Kwa taatifa sera ya majimbo ilianzishwa kipindi Cha Slaa na Lowasa wakitaka Mikoa ya kaskazini ijitenge ili utajiri wote wa utalii wale wenyewe kuwa waweza ishi wenyewe!! Wajinga mkaunga mkono akiwemo Lisu
Sasa Mbona wewe ndo kilaza sana??? Mbona kwa maelezo yako tu unakiri majimbo sio mkoa???

Alafu ni lini Slaa na Lowassa walikuwa wote Chadema??? 😂😂😂😂😂

KWELI CCM mmeishiwa hoja 😂😂😂
 
Kàma mmefanya yote hayo, kwanini CCM mnahangaika kwenye majukwaa.
 
Tatizo la CCM wanataka hela yote ya Tanzania waikusanye wao sehemu moja ili iwe rahisi hata kuipiga - tumeshawashtukia... "Sasaaaa ............"
 
Lakini yeye ni sawa kutugawa kikanda? Aache kutufanya wajinga.. Alipo sema hataendeleza baadhi ya mikoa kwa sababu hawaku mpa kura yeye alikuwa ana tekeleza mustakabali gani? Huyu baba kawehuka..
Sera ya majimbo ikitekelezwa na ccm, haitofaulu, lakini, ikitekelezwa na LISU , Ni nzuri mno
 
Tatizo la CCM wanataka hela yote ya Tanzania waikusanye wao sehemu moja ili iwe rahisi hata kuipiga - tumeshawashtukia... "Sasaaaa ............"
Sana!!! Hela nyingi sana ya serikali inachukuliwa na CCM na wanaitumia kwa ufedhuli wao. Ndo mana huwezi wasikia wanaunga mkono mambo yanayowapa wananchi mamlaka ya kujifanyia maendeleo na kuamua maendeleo yao
 
Akiwa Urambo JPM amewaonya watanzania kuwakataa wanaohubiri kuigawa nchi katika majimbo, sera hiyo ni hatari kwa mstakali wa umoja wa Taifa letu,amesema sera hiyo ni ubaguzi mtupu kwani majombo masikini yatabaki maskini.
RC kwenye anako shinda amepiga magoti wana tumia mfumo wa majimbo
 
Asituchagulie wa kutuongoza yeye hana hati miliki ya Tanzania.
Hati miliki ya Tanzania iko kwa Watanzania wenyewe ambao kupitia wawakilishi bungeni walikubali kuwapa madaraka wapiga kura kwa kupitia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)

Kwenye TAMISEMI wananchi huchagua wawakilishi wao kuanzia ngazi za chini. Ni katika vikao vya Kijiji au Kata, baada ya vikao vya vitongoji/mitaa, maamuzi hupelekwa kwenye Halmashauri. Je, kuna upungufu gani wa mfumo huu hadi uvunjwe na kuunda majimbo?

Siri nyuma ya CHADEMA kupendekeza uundwaji wa Serikali za Majimbo si kwa sababu mfumo uliopo umeshindwa. La hasha. Ikumbukwe M/kiti wa CHADEMA alisusia uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Wakiamini Lissu atashinda Uchaguzi Mkuu, akaunda Serikali, atashindwa kuiendesha kwa kuwa hatakuwa na viongozi wa kufanya nao kazi ngazi ya vijiji au mitaa.

Akili ni nywele kila mtu ana zake
 
Kwa wanaojua kuangalia mambo yalivyo huko kitaa nazani sasa amnaweza nielewa hapa kwamba rais wa 2020 - 2025 ni Magufuli.

Tuendelee kuomba wabunge wa upinzani wasipukutike kabisa. Upinzani ni muhimu kuwepo.

Ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom