Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Kiukweli lissu yuko juu sana.magu hata kizungu hajui...
Unaona sasa akili za wafuasi wa lissu,kwa hiyo kwa sisi tusiojua kingereza mbele za lissu ni taka taka? Kwanini atuombe kura,si akawaombe wazungu wenzie huko ughaibuni?

Lissu hafai hata kidogo.
 
Lisu yupo juu ya Magufuli. Acha kulinganisha Lisu na taka taka.
Kama kweli Lissu yupo juu zaidi ya Magu ,mbona Lisu hana uwezo wa kuteuwa hata Katibu tarafa Kama mwenzie Magufuli anavyowateuwa na kuwatengua anavyotaka!?
 
Mwambie mgombea wako akubali mdahalo!! wahojiwe live mbele ya vyombo vyote vya habari vya nje na ndani wiki moja kabla ya uchaguzi.
 
Kuna hela zitatoka central government kwa akili ya miradi ya maendeleo kama jimbo halijitoshelezi.
Sera ya majimbo msiifafanue kiwepesi hivyo.Kutakuwepo na mikoa itakayofanyiwa balance kulingana rasilimali za mahali husika.Dar kwa mfano lazima itatoa zaidi kwa federal goverment zaidi kuliko mikoa mingine
 
Mimi naona Lissu yupo juu zaidi ya Magu.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Lazima uwadanganye wananchi wakuamini, ila yote anayoyaongea hatoyafanya kama ikitokea miujiza akaingia madarakan, huwezi kujiua mwenyewe, yan awe madarakan afu abadirishe katiba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maybe enzi za ukawa sio kwa CHADEMA ya mbowe
 
kwenye hili kwa kweli Lissu kakosea sana kujishusha kiasi hiki cha kujilinganisha na mtu wa aina hii ambaye hata kwenye chama chetu cha kijani tumempachika tags za "mshamba", "mbinafsi", "mwenye upendeleo", "mkabila", nk.

but anyways, Lissu ni mtu humble sana, hapendi kujikweza!
 
Mwambie mgombea wako akubali mdahalo!! wahojiwe live mbele ya vyombo vyote vya habari vya nje na ndani wiki moja kabla ya uchaguzi.
Unafanyaje mdahalo na mtu kila saa analialia kapigwa risasi 16,tunajua hana jipya la kutuambia Watanzania!!
 
Kama kweli Lissu yupo juu zaidi ya Magu ,mbona Lisu hana uwezo wa kuteuwa hata Katibu tarafa Kama mwenzie Magufuli anavyowateuwa na kuwatengua anavyotaka!?
Mi nasema usimlinganishe lisu na mdesaji
 
Unaona sasa akili za wafuasi wa lissu,kwa hiyo kwa sisi tusiojua kingereza mbele za lissu ni taka taka? Kwanini atuombe kura,si akawaombe wazungu wenzie huko ughaibuni?

Lissu hafai hata kidogo.

Kuna mtu alipata kuandika kwamba kama hujui utawala basi usitafute nafasi ya uongozi. Vivyo hivyo kam
 
Hiyo ilishachuja tafuteni nyingine si mlisema Chadema imeuwawa na Magufuli hahaha!!
CDM ya mtaani ilisha kufa siku nyingi sana,Sasa hivi imebaki CDM ya Mitandaoni nayo inapumulia oxygen baada Uchaguzi kwisha nayo itakua chali, Mbeligiji atarudi zake Ubelgiji akatulie na Mabeberu wake na watampa kazi za kutunza vizee vya Ulaya!!
 
Kama kweli Lissu yupo juu zaidi ya Magu ,mbona Lisu hana uwezo wa kuteuwa hata Katibu tarafa Kama mwenzie Magufuli anavyowateuwa na kuwatengua anavyotaka!?
Wakiitwa watu wenye akili usiende, bichwa lako ni kasha tu, una kaswende ya ubongo.
 
Wakuu habari za Leo ,ninaimani kuwa mu wazima wa afya njema ,tukiwa tunandelea na kampeni za uchaguzi kumekuwa na vituko toka kwa wagombea tofauti tofauti,kila mmoja na vituko vyake .

Kituko kilicho nisononesha ni cha huyu Mgombea Wa CHADEMA ndugu Tundu A.Lissu kutaka kuwaaminisha wafuasi wake kuwa unaarufu wake umepanda na kusifikia level za kina J.Magufuli hadi kufikia hatua ya kutaka mdahalo na JPM, maana yake haoni mwingine kwa wagombea urais zaidi 10,huku ni kuwapotosha wafuasi wake.

Kwanini nimesema hivyo ,Lissu Mara kadhaa amekuwa akisisitiza kuwa anataka mdahalo na mgombea wa urais kupitia chama tawala cha CCM, swali la kujiuliza hapa ni kuwa kwanini Lissu alazimishe mdahalo na Magufuli tu,je katika uchaguzi huu washindani ni wawili tu?,je hawaoni.akina B.Membe,Pro.Lipumba nk.?

Ukweli ni kwamba Lissu ana wadharau sana watanzania amefikia level za kujiona yuko juu ya watanzania wote ,na elimu na uelewa alionao ni wajuu hakuna mtanzania wa kumliko,

Kitendo cha Mh.Lissu kuwadanganya na kuwaaminisha wafuasi wake kuwa kwa sasa amekomaa kisiasa na anao uwezo wa kufanya midahalo na kina Magufuli ni kitendo cha kilaghai kinacholenga kuwaaminisha wafuasi wake kuwa tofauti na magufuli hakuna mwingine wa kuweza kujadiliana naye ,kwanini asitake midahalo na kina Membe ?

Hii inadhihirisha kuwa mtu huyu akipewa madaraka ni hatari sana na ni miongoni mwa watu wanaoamini kuwa hawezi kushirikiana na watu wanyonge,na ni kweli hili tumeliona maana kampeni zake muda mwingi zinazungumzia habari za ulaya na mabeberu tu,ulaya kwenyewe katika akiwa mgonjwa na kaka miaka miwili ,je angekulia ulaya na kusomea ulaya si angefikia hatua ya kututemea mate? .


Shime watanzania agopeni sana mtu anayeishi kwa kuigiza maisha huyu ni hatari sana,akipewa madaraka mtu huyu rafiki zake watakuwa ni watu wenye vipato vya juu hali ambayo itapelekea kuongezeka kwa pengo kati ya masikini na tajiri na kupelekea chuki na mafarakano miongoni mwa watanzania

Say NO for Tundu A.Lissu.
View attachment 1576065
Mdahalo unategemea umaarufu?
 
Back
Top Bottom