Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Kiingereza chenyewe kinaonyesha kweli wee ni mfuasi wa Jiwe. Eti, "Say NO for Lissu"! Mnaabisha nchi yetu. Andika Kiswahili tu kuliko kuboronga hivyo.
Inaonekna kuwa Jiwe amefanikiwa kuwaaminisha wafuasi wake kuwa ni malaika ambaye hastahili kuwa hapa duniani. Malaika Israel anayetuma watu wake kumiminia wengine risasi ili kuwatoa roho! Mmekuwa braishwashed, mnamwona "mungu-mtu". Magufuli na Lissu ni binadamu tu - wanakula na kujisaidia. Tena kwa roho nzuri, bora Lissu.