Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Dingi kazeeka ghafla
Screenshot_20200908-103822.jpg
 
Tatizo Bavicha Unafiki..., Mitandaoni mpo vizuri lakini siku ya kupigia Kura ama hamuendi kabisa kwenye vituo ama vidole vyenu vinawasaliti yaani tiki mnaweka Kwa Mzee Magu....haaahah ..., Kuna kipindi nilishawahi fanya kazi ya uwakala. Kila tukirudia kuhesabu CCM ipo juu mara 2 zaidi...nikajifunza wafipa sio kabisa....!
 
Wanaomchukia ndani ya CCM, ni wengi sana. Na sijui kama mwenyewe analitambua hilo. Asije akawaamini wanafiki pole pole na ba shiru wanaomdanganya kuwa anapendwa sana.

Awe mwangalifu sana. Asihe akakosea akawafanya watu wachukua uamuzi mgumu, mwanzoni ataamini kuna watu wengi wanaomwunga mkono. Baada ya siku kadhaa za kumpinga atashangaa sana. Maana hata asiowatarajia, atawaona wapo mbele kabisa katika kumpinga kwa uwazi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_20200921_222910.jpg

MODUS OPERANDI: CIBORIUM
Mama Samia Suluhu akiwakilisha Chama Dola ameingia Tukuyu Mbeya akimwaga mafanikio na kuweka mustakabali wa Taifa kwa miaka mitano ijayo.
 
gari zote za P.A zikekodiwa na CCM, chadem wanatangaza na kirikuu lkn maajabu ni kuwa mkutano wa chadema hukuti magepu kama ya CCM...
 
Back
Top Bottom