Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Jamaa ni Janga la Taifa.

Ni kielelezo kikubwa cha Elimu yetu na Ujinga uliotukuka uliofanywa na Ccm 2015
 
Ana watishia na kuwaamrisha wananchi akizani kawaajiri kama mawaziri wake
 
Leo anasema Majimbo yataleta ukabila wakati juzi alikuwa Mara(Bunda) alisema hawana maendeleo kwa sababu walichagua upinzani nani mkabila Kati ya Lissu ambaye anataka watu waamue maendeleo yao kupitia majimbo sio kujitegemea Serikali kuu na yeye anabadilisha matumizi ya pesa na kuzipeleka kwenye matumizi mengine kwa jinsi anavyotaka.

Majimbo yataleta ukabila wakati anachukua pesa ya ujenzi wa uwanja wa ndege Kigoma na kupeleka Chato mkabila hapo nani happy Kati yake na Tundu Lissu nchi hii kila mkoa una rasilimali za kutosha watu waachwe waamue maendeleo yao na wawe na say ya kumfukiza mtu yeyote kazi ndio hoja ya Lissu.

Eti anasema Serikali za Majimbo zitachelewesha maendeleo wakati CCM kila kukicha inagawa mikoa,Walaya na kata na kupanua matumizi ya wafanya kazi badala ya kupeleka pesa kwenye maendeleo.

Magufuli asaidiwe kujibu hoja za Lissu maana uwezo wake kujibu hoja ni mdogo mno.
Wewe ndio huna uwezo na uelewa wa mambo. JPM anasema huu mfumo hata wakoloni walikuwa nao,Nyerere akaona haufai, sasa tuna taifa moja. Taifa ambalo kila mkoa, wilaya hadi kata inafaidi pato la taifa.

Kuleta serikali za majimbi ni kuleta migawanyiko maana majimbo yenye rasilimali nyingi yatafaidika zaidi kuliko yenye rasilimali kidogo.

Alipokuwa Bunda hakuimiza ukabila, alihimiza kupata diwani wa Ccm,mbunge wa Ccm ili afanye kazi kwa uraahisi. Wewe mwenye akili finyu unaleta tafsiri mbovu.
 
kinachoifanya ccm iendelee kuwa hai ni kukosa elimu kwa watanzania, imagine mtu anasema majimbo yatatugawa na watu wanamshangilia!

yatatugawa vipi sasa?

yani ukitaka kumtawala mjinga mnyime elimu
👊👊
 
Salaam

Jamaa hanogi kabisa kumsikiliza yaani havutii kabisa na hii yote ameyataka mwenyewe.

Hunawezaji kukaa miaka 5 bila kuongeza mshahara !!! WE NANI HASA ?

Hunawezaje kukaa miaka 5 bila salary increment?? WE KAMA NANI HASA ??

Hunawezaje kukaa miaka 5 bila ajira mpya ??
UNAJIAMULIA KAMA NANI HASA ?

Hunawezaje kufukuza watu ovyo kazini bila fidia ?

Walimu lukuki hawajapandishwa madaraja tangu 2014/2015 walioajiriwa na JK.

Na mengine mengi.......

ILA JAMAA ANA ROHO MBAYAAAA SANAAA AISEEE HUYU AKISHINDA HATOKI MADARAKANI.

WATANZANIA WENYE UCHUNGU NA WATANZANIA WENZETU WALIOUMIZWA NA SERIKALI HII TUIKATAE JUMLA JUMLA ILI KUWAENZI NDUGU ZETU KAMA AKINA AZORY NA BEN SIR8.

AKISHINDA SITOJUTA MAANA KURA YANGU HAPATI HATA KAMA NAIPENDA CCM.
 
IQ yake yenyewe ipo chini kujenga hoja ndio ataweza ? Uliza waliosoma nae katoke seminary kabla hajafukuzwa , baada ya kuvunja dirisha , wakueleza darasani alikuwa anashika namba ngapi ucheke Mpaka mbavu ziume.
 
IMG-20200921-WA0241.jpg
 
IQ yake yenyewe ipo chini kujenga hoja ndio ataweza ? Uliza waliosoma nae katoke seminary kabla hajafukuzwa , baada ya kuvunja dirisha , wakueleza darasani alikuwa anashika namba ngapi ucheke Mpaka mbavu ziume.

Jee unazo results zake za 'O' Level na 'A' level ? nisaidie hapo.
 
Salaam

Jamaa hanogi kabisa kumsikiliza yaani havutii kabisa na hii yote ameyataka mwenyewe.

Hunawezaji kukaa miaka 5 bila kuongeza mshahara !!! WE NANI HASA ?

Hunawezaje kukaa miaka 5 bila salary increment?? WE KAMA NANI HASA ??

Hunawezaje kukaa miaka 5 bila ajira mpya ??
UNAJIAMULIA KAMA NANI HASA ?

Hunawezaje kufukuza watu ovyo kazini bila fidia ?

Walimu lukuki hawajapandishwa madaraja tangu 2014/2015 walioajiriwa na JK.

Na mengine mengi.......

ILA JAMAA ANA ROHO MBAYAAAA SANAAA AISEEE HUYU AKISHINDA HATOKI MADARAKANI.

WATANZANIA WENYE UCHUNGU NA WATANZANIA WENZETU WALIOUMIZWA NA SERIKALI HII TUIKATAE JUMLA JUMLA ILI KUWAENZI NDUGU ZETU KAMA AKINA AZORY NA BEN SIR8.

AKISHINDA SITOJUTA MAANA KURA YANGU HAPATI HATA KAMA NAIPENDA CCM.
MAGUFULI AMEIPA CCM WAKATI MGUMU SANA
 
Endeleeni Kujazana Upepo Vibendera Humu
wapiga kura sio Nyie Nyie ni Wapenda like za Vibendera wenzenu humu na Id Kumi kumi
Magufuli ndio Rais mpaka 2025
 
Ametamka pale akiwa njiani Kijiji cha Mabama toka Urambo kwenda Tabora kwamba uchaguzi huu atashinda hata akibaki yeye na mkewe tu.

Tusubiri tuone
 
Back
Top Bottom