Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Mwisho wa hivi vi threads vyenu ni tarehe 28/10/2020

Baada ya hapo wimbo wa tumeibiwa unaendelea kusikika
 
Ndio maana Ccm huwa hawataki watu wapate elimu
 
Shida wajinga ndio uamua hatma ya wengi,Jamii ya wasomi ni kundi dogo mbele ya wajinga. Hakuna mtu aliyeelimika anasapoti ccm labda tu Kama pana maslai napo
 
Kwanza hata ccm kupita kwa wananchi ni kukosa aibu
 
Mwezi wa mwisho wa Jiwe/Chuma kuongoza
Tatizo lake mh. hapendi kushauriwa. Nahisi wenzake walimshauri kabla ya haya yote,na uwenda akawapuuzia. Sasa wenye kumuangalia wanamuangali na wenye kumcheka wanamcheka. Kazi ni kwake mh.mtukufu wetu,sisi tuna msubilia 28/10/2010 kutimiza yetu
 
Ni muda wa kumtumbua Magufuli, tumejipanga
 
Kuielewa ccm unapaswa kuwa dhulmati, mfano ccm inatumia mapolis kunyanyasa wapinzani wao kisiasa, inatumia tume kuengua wapinzani wao, inatumia msajili kunyanyasa wapinzani wao, utaipendaje ccm wakati haki huinua taifa?
 
Kifo cha nyani
 
Ndio maana Ccm huwa hawataki watu wapate elimu
Huwezi tenganisha ccm na ujinga, unakuta mtu Hana hata uwezo wa kununua ndala anashangilia kununuliwaa kwa ndege,watu wajinga na masikini upendwa Sana na madikteta sababu ni rahisi kuwapropaganda.. Madikteta wote uwachukia na kuwashughulikia wasomi na matajiri. Madikteta wote upenda maendeleo ya vitu badala ya watu, wao sababu ya ukosefu wa confidence uamini kwao ni salama kuwatawala masikini na wajinga. Thus uwasomesha namba watu ili waweze kuwatawala.
 
Idadi kubwa ya watanzania (90%), sio wasomi wa kutumia Twitter, JF, FB na Instagram. Wapiga kura wengi ni wafuasi wa CCM, na huwa wanapiga kura kama ritual.
 
Kila mtu uvuna apandacho, ukiwasomesha watu namba jiandae nawe kuisoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…