Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uwo Uwanja wa samora mdogo, inatakiwa msimamie watu wasije waka jaa kupita kiasi. Watu 30,000 wanatosha wasizidi ao wengine wafungiwe TV kwenye ma stendi.
 
Haka kajamaa kanampangia jiwe cha kuongea? Hahahahaaaa! Kweli jiwe limepata joto kali.
 
Mwambie Akirudi ulingoni watu wamesha muacha kabisaaa...

Upepo umebadilika na HAWEZI kuzuia kimbunga kwa mkono
 
mzee kashachoka hana hamu na kampeni mnamlazimisha tu, Lisu2020
 
Rais wa Watanzania
 
Akili imemrudia hadi ameamua kuacha kujibishana na Legendary Lisu.
Sasa tunasubiri story zake za mabarabara, ndege, sgr na stigler
 
Lissu kiboko.. ana sauti kali, inachoma na kuamsha vilivyo lala.

Hibi kweli

1. Nasikia ardhi ekari 24,000 zimerudishwa.[emoji1][emoji1]

2. Tamisemi wamemjibu lissu

3. Polepole ametumia siku mbili kimjibu lissu

4..
 
Mbeya?? Yaani Kampeni ya Kihistoria Mbeya?? Atajuta kwenda Mbeya.
 
Reactions: UCD
Pole pole anasema Kuna diwani huko Momba alipigwa risasi 30 Ila yupo hai, jamaa anadanganya huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…