Haka kajamaa kanampangia jiwe cha kuongea? Hahahahaaaa! Kweli jiwe limepata joto kali.
Lissu atatufuta machozi,Magu katulizaPolepole yuko mubashara Channel ten!
Karibu.
Up dates;
Dkt. Magufuli kesho 28/9 atakuwa na mkubwa wa kampeni mkoani Iringa katika uwanja wa Samora.
Tarehe 29/9 Dkt. Magufuli atakuwa na mkutano wa kihistoria katika uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya.
Katika mikutano hii Dkt. Magufuli atajikita kwenye kuelezea maono yake na hatajibishana na wanasiasa wengine majukwaani.
Ratiba kamili baada ya Mbeya itatangazwa baadaye.
Tulia tu ameshawapa za uso itakuwa Rais Magufuli?Mbeya?? Yaani Kampeni ya Kihistoria Mbeya?? Atajuta kwenda Mbeya.
Watanzania wa LumumbaHivi kumbe hujui kuwa Lissu hana sera anasubiri CCM wasema ndiyo apate cha kuongea. Kwa watz makini wanamwona ni vuvuzela tu.
Hivi ni mwana ccm yupi alimpa sumu Mangula?Hivi kumbe hujui kuwa Lissu hana sera anasubiri CCM wasema ndiyo apate cha kuongea. Kwa watz makini wanamwona ni vuvuzela tu.
Nasikia imetolewa amri shule zote za manispaa ya Iringa zifungwe kesho na wanafunzi wote na walimu wafike kwenye kampeni bila kukosa.Polepole yuko mubashara Channel ten!..
Kwa hiyo wamemshauri asijibu hoja. Kite do cha kusema hivyo hadharani kuwa hatajibu hoja ni kuonyesha kuwa hapo nyuma alikuwa off line. Sasa anajirekebisha.Polepole yuko mubashara Channel ten!
Karibu.
Up dates;
Dkt. Magufuli kesho 28/9 atakuwa na mkubwa wa kampeni mkoani Iringa katika uwanja wa Samora..
Mkutano mkubwa? Acha hizo wewe Polepole, mkutano huo ni wa kawaida wala hauna ukubwa wowote....Publicity tu. Angetangaza kuwa amejiuzulu au hawezi kuendelea na urais kwa sababu ya kashfa nyingi za utekaji na mauaji alizokuwanazo.Polepole yuko mubashara Channel ten!..
Na aliyemuua Chacha Wangwe?Hivi ni mwana ccm yupi alimpa sumu Mangula?