Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Polepole yuko mubashara Channel ten!

Karibu.

Up dates;

Dkt. Magufuli kesho 28/9 atakuwa na mkubwa wa kampeni mkoani Iringa katika uwanja wa Samora.

Tarehe 29/9 Dkt. Magufuli atakuwa na mkutano wa kihistoria katika uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya.

Katika mikutano hii Dkt. Magufuli atajikita kwenye kuelezea maono yake na hatajibishana na wanasiasa wengine majukwaani.

Ratiba kamili baada ya Mbeya itatangazwa baadaye.
Lissu atatufuta machozi,Magu katuliza
 
CCM huyu Pole Pole anakizika Chama..ukifuatilia ongea yake anaongea kama vile yuko kwenye kipindi cha watoto. Hivi kwanini Msimkodi Kinana au Nape wairudishe dira yenu?Nawambia hyu HP anaenda kuwafukia chini.

Hivi propaganda za kitoto anazo mwaga mbele ya waandishi anafikili nani ztamwingia kichwani mwenye akiri Timamu? Mtoeni kweny nafasi hyo....!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Kuwa mwana CCM rahaa, hawa wenzetu kuanzia tarehe 29th October wataanza kuwa na majuto, dhiki, kulalamika na kukata tamaa.
 
Jamani namsikiliza Polepole hata nguvu anazotumia kuamrisha jeshi la polisi mmmh! Angetulia kwanza kufanya conference maana anatumia nguvu kuliko kufikiri.
 
amesema kutakuwa na wasanii wangapi na akina nani hao...tusije kucheki show halafu mtuletee ma underground.
 
Dah naona Polepole anasema anajua mambo mengi ya Lisu ,sijui hii Ni kweli au tusubiri
 
Polepole yuko mubashara Channel ten!

Karibu.

Up dates;

Dkt. Magufuli kesho 28/9 atakuwa na mkubwa wa kampeni mkoani Iringa katika uwanja wa Samora..
Kwa hiyo wamemshauri asijibu hoja. Kite do cha kusema hivyo hadharani kuwa hatajibu hoja ni kuonyesha kuwa hapo nyuma alikuwa off line. Sasa anajirekebisha.

Ila kwa jinsi alivyo atajikuta anachomekea unless awe anadoma hotuba kitu ambacho kitawabore wasikilizaji. Kampeni ni pamoja na vijembe, pamoja na kuongeza na watu na Siyo kuhutubia.
 
Polepole yuko mubashara Channel ten!..
Mkutano mkubwa? Acha hizo wewe Polepole, mkutano huo ni wa kawaida wala hauna ukubwa wowote....Publicity tu. Angetangaza kuwa amejiuzulu au hawezi kuendelea na urais kwa sababu ya kashfa nyingi za utekaji na mauaji alizokuwanazo.
 
Pole pole angepunguza Jaziba wakati wakujibu maswali ingekuwa vizuri zaidi.
 
Ccm kama wana taka wapate hata 27% ya kura zote za urais, sasa wanatakiwa wampumzishe Polepole wamu ombe Agrey Mwanry awasaidie hiyo nafasi kwa mud. Polepole amesha ipoteza Ccm
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kupoteza muda wake kwenda kusikiliza uongo. Wengi watakuwa ni vijana wapenda muziki, watoto wa shule, wafanyikazi wa umma na wale wenye maslahi binafsi
 
Back
Top Bottom