Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Mbona mkishinda kesi hizi kauli huwa hatuzioni jitokeze tuu maana huo ushahidi uliouweka hapa ni mzito sana, nenda mahakamani Mkuu.

JPM 2020-2025
CCM USHINDI NI JADI

Tunakwenda kwenye hizi mahakama sio kwa kuwa tunaziamini, bali tunalazimika. Ingekuwa tunaweza kwenda pengine hizo mahakama za ccm mngeenda wanaccm peke yenu.
 
Na akipata anaongeza mitano mingine huyu.
 
Jiandaeni kisaokolojia. Ila miaka mitano ni mingi sana nitakua nimesogeza umri parefu sana[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Tundu atafute pa kwenda sijui atakula nini, ruzuku zetu kwa chadema anazotumbua sasa hivi hakuna tena, uwakili kibali chetu hakuna, Ulaya viza hapati, anamuiga Fatuma, mwenzake mtoto wa Rais
Yule ni wakili wa kujitegemea ukae ukijua.
Na ni wakili msomi pia ukae ukijua.
Akili yako inakutuma kua atakaa kusubiria ugali unavosubiria upewe chakula hapo kwa Dada yako?
 
LISSU UKIENDA KWENYE HIYO TUME UWE MAKINI MNO MNO NA SUALA LA USALAMA WAKO. BARABARANI NDIO MZIDISHE UMAKINI, WAKATI WA KWENDA NA KURUDI. YULE MTU WA CAMERA ASISAHAULIKE.
Mkuu Ondoa hofu Hakuna wa kumgusa TL kwa sasa.

Pombe hana namna huyu jamaa yuko salama kwenda Ikulu
 
💯
 
Mmh! Acha kujipa moyo, mgombea wenu anaumwa msongo wa .mawazo. Jana amefokea kila mtu pale Dodoma, kaonesha dalili ya kupaniki.
Kila binadamu anapanic mbona NI Jambo la kawaida kabisa
Wewe mwenyewe tu Hapo kuongoza familia yako tu huwa unapanic Sana tu hadi unajuta kuwa na familia Sasa itakuwa Kiongozi was nchi
Mambo ya kawaida kabisa hayo yasikutishe
Magu Yuko fit
 
Tuungane kumkataa kwa nguvu zetu zote.

Mimi binafsi nitafanya kila lililo ndani ya uwezo wangu kuhakikisha hashindi
 
Tundu atafute pa kwenda sijui atakula nini, ruzuku zetu kwa chadema anazotumbua sasa hivi hakuna tena, uwakili kibali chetu hakuna, Ulaya viza hapati, anamuiga Fatuma, mwenzake mtoto wa Rais
Mtu ambaye hawezi kufanya mkutano wa hadhara na kushinda kutwa anasumbua wananchi kwenye miji na vijiwe vyao anaambiwa anafanya campaign ya kisayansi.. UVCCM mnajua kupeana moyo
 
Tatizo lenu ni dogo sana. MNAPINGA MAENDELEO.

Hakuna lugha mtakayotushawishi kuwa hafai.

Nyie ndo hamfai
 
Maendeleo siyo barabara, reli na zahanati alipaswa kujiongeza. Aangalie watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…