4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Iko hivi mkuu ccm wajifunze kujishusha mfano mfano hata inatokea waziri mkuu uko kagera hata Kama ni mjini au bilyamlo au karangwe huna sababu kutengenezewa jukwaa Kama vile hutaondoka no tumia hata bajaji kwa kuhutubia Basi au chochote kile,jishushe wakuuKwa namna mambo yanavyokwenda hali si shwari ndani na nje ya chama chake.
Sasa, ikitokea amechaguliwa baadhi ya maeneo yanayoshabikia Sana upinzani, wanaCCM ambao mkubwa huyu anawaona kama wasaliti na wapinzani wanaomsumbua akili yake katika kampeni sipati picha itakuwaje.
Si mnamfahamu kwa kulipa visasi na visasili?
Kuliepuka balaa hili sote kwa pamoja tuseme NO kwa mkubwa huyu.
Watanzania wote wenye mapenzi mema na nchi yetu, tutaishi na kuyasimulia Matendo makubwa ya awamu ya tano. Kama ni kufa, jiongeze tu kamanda, maana Magufuli ni Tano tena.
Lisu hana kura za kufanya tume ipindishe matokeo.Wanaochagua hawana nguvu kama wanaotangaza matokeo.Tanzania kiongozi hachaguliwi,anatangazwa
Ni kweli mkuu,ila acha tujaribu mwaka huu kupigania hyo haki,nani anajua,twaweza fanikiwa.Wanaochagua hawana nguvu kama wanaotangaza matokeo.Tanzania kiongozi hachaguliwi,anatangazwa
Umepewa laki moja uje mtandaoni kuongea upuuzi ...mnapopewa hela wawape na hoja za kuja kubishana mtandaoniField ipi?
Field ya kwenye account twiter ya kigogo?
Lisu ni debe tupu.
Baada ya oktoba mtajua udebe tupu wa Lisu.
Kiufupi Lisu ndio mgombea atakae tia aibu kwa kupata kura chache kuliko wagombea wote waliowahi kugombea chadema.
Unauhakika wanaochagua hawana nguvu kuliko wanaotangaza??Wanaochagua hawana nguvu kama wanaotangaza matokeo.Tanzania kiongozi hachaguliwi,anatangazwa
Hiyo mwisho ulikuwa 2019 uchaguzi wa serikali za mitaa. 2020 agizo limetoka kuwa ATATANGAZWA ALIYESHINDA.Wanaochagua hawana nguvu kama wanaotangaza matokeo.Tanzania kiongozi hachaguliwi,anatangazwa
Hayo ni mawazo yako kijana. Usiyalazimishe yawe ya wote.Kuna watu bado wanasambaza propaganda kwamba CCM inakubalika ila kiukweli uku vujijini Hali ndio mbaya zaidi kwa CCM kuliko hata mwaka 2015.
Tofauti ya mwaka 2015 mwaka huu wazee wengi wa vijijini hawataki kabisa kusikia kitu kinachoitwa ccm...
Umeanza kuuchafua uzi mapema hivi,ungesubiri ukoment baadae ili comment yako iwe ya mwisho huko ili wasoma comment wasiifikieField ipi?
Field ya kwenye account twiter ya kigogo?
Lisu ni debe tupu.
Baada ya oktoba mtajua udebe tupu wa Lisu.
Kiufupi Lisu ndio mgombea atakae tia aibu kwa kupata kura chache kuliko wagombea wote waliowahi kugombea chadema.