4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Iko hivi mkuu ccm wajifunze kujishusha mfano mfano hata inatokea waziri mkuu uko kagera hata Kama ni mjini au bilyamlo au karangwe huna sababu kutengenezewa jukwaa Kama vile hutaondoka no tumia hata bajaji kwa kuhutubia Basi au chochote kile,jishushe wakuuKwa namna mambo yanavyokwenda hali si shwari ndani na nje ya chama chake.
Sasa, ikitokea amechaguliwa baadhi ya maeneo yanayoshabikia Sana upinzani, wanaCCM ambao mkubwa huyu anawaona kama wasaliti na wapinzani wanaomsumbua akili yake katika kampeni sipati picha itakuwaje.
Si mnamfahamu kwa kulipa visasi na visasili?
Kuliepuka balaa hili sote kwa pamoja tuseme NO kwa mkubwa huyu.