Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,595
- 6,264
Hayo ni maneno ya polepole jana wakati anaongea na waandishi wa habari. Anadai kuanzia leo zitaongezwa injini nyingine nyingi ili kupambana na injini moja kutoka huko chadema inayo onekana kuwa imara siku baada ya siku.
Injini hiyo inayo saga na kukoboa kutoka chadema imeonekana kuzishinda injini za ccm kila kukicha ukianza na injini kuu iliyo kuwa ikisifiwa kila kukicha.
Injini zinazo tarajiwa kuongezwa ni
[emoji117]Mawaziri wote wakuu wastaafu
[emoji117]Marais wastaafu
[emoji117]Makada kindaki ndaki (waandamizi)
Je hizo injini zitaweza kweli kupambana na hiyo injini kutoka huko chadema inayo onekana hata kuchemka tu bado?
Mimi kwa mtazamo wangu naona waziache tu hizo injini maana naona zimesha shindwa kabla hata yakuingia uwanja wa vita.