secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Sasa ulijuaje kama ni bomu!?Bomu huyo Mkuu sijawahi kupoteza muda wangu kumsikiliza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ulijuaje kama ni bomu!?Bomu huyo Mkuu sijawahi kupoteza muda wangu kumsikiliza.
Nimemsikia mzee baba akiomba wagogo wampe binti.Ni mambo ya ajabu na ya aibu!
Kwa kuongea mambo ya ngono ngono ni mbobeziNimemsikia mzee baba akiomba wagogo wampe binti.Ni mambo ya ajabu na ya aibu!
mm pia nimeshindwa nduguWanasema usimhukumu mtu bila kumsikiliza. Hivyo nikaamua kufungulia TBC (baada ya siku nyingi kupita bila kuitanzama) na kumsikiliza mgombea wa CCM.
Hakika nilijitahidi sana kuvumilia, lakini takribani baada ya dakika kama 10 au 13 hivi nikashindwa kuendelea.
Hivi ni waandaaji wake ndio wa hovyo, au yeye mwenyewe ndio anashindwa au hajui afanyacho?
Bora hata Shibuda au Lipumba hotuba zao za kampeni zina mashiko kuliko mzee baba.
Namlinganisha na Mrema huyu wa sasa katika uwasilishaji wa hoja.
Jee wenzangu wa Iringa na wengine mmevutiwa hotuba ya Leo?
Wanasema usimhukumu mtu bila kumsikiliza. Hivyo nikaamua kufungulia TBC (baada ya siku nyingi kupita bila kuitanzama) na kumsikiliza mgombea wa CCM.
Hakika nilijitahidi sana kuvumilia, lakini takribani baada ya dakika kama 10 au 13 hivi nikashindwa kuendelea.
Hivi ni waandaaji wake ndio wa hovyo, au yeye mwenyewe ndio anashindwa au hajui afanyacho?
Bora hata Shibuda au Lipumba hotuba zao za kampeni zina mashiko kuliko mzee baba.
Namlinganisha na Mrema huyu wa sasa katika uwasilishaji wa hoja.
Jee wenzangu wa Iringa na wengine mmevutiwa hotuba ya Leo?
Mkewe na watoto labda.Tunaomba ujiandae kisaikolojia kumsikiliza tena mwezi wa 11 akihutubia taifa
Lisu ameshasema Haendi kwenye huo wito maana hajapokea taarifa ya maandishi na pia akipata atatakiwa kujibu kwa maandishi ndani ya saa 48 kwa mujibu wa sheria ...aisee huyu lisu waache tu kusumbua vinginevyo anatumia fimbo zao kuwachapia....ukisikiliza kampeni zoke hutamani kuacha kumsikiliza na kwa mwendo ule hata kama angekuwa anaambatana na wasanii sidhani kama wangepata wasaa wa kutumbuiza.LISSU UKIENDA KWENYE HIYO TUME UWE MAKINI MNO MNO NA SUALA LA USALAMA WAKO. BARABARANI NDIO MZIDISHE UMAKINI, WAKATI WA KWENDA NA KURUDI. YULE MTU WA CAMERA ASISAHAULIKE.
Sijaangalia video yake akiwa iringa leo lakini picha nimeziona nyingi ...something is wrong with his health but to large extent his psychology iko na shida ...his body language speaks a lot jamaa anadepression jumlisha inferiority aliyokuwa nayo..unamwonea huruma kwa kweli ..huku lisu ndo hana mpango hata wa kulegeza spanaHotuba za mheshimiwa zimekosa kabisa mvuto! Hazina jipya, hazina focus, hazileti matumaini.
Bila shaka kuna shida sehemu.
Sina uhakika kama wanafanya assessment kila baada ya siku moja ya mikutano ya kampeni.
Halafu inaonekana mheshimiwa anaishiwa pumzi na ni kama anaumwa hivi.
Sema ww umemkataa na siyo watanzania wamemkataa, mm mwenyewe ni mtanzania wala siyo msudani
Rais wa nchi huyo!Kwa kuongea mambo ya ngono ngono ni mbobezi