Mkuu uko serious hujui nani anajiita Jiwe? By the way make sure you use singular yaani zungumzia wewe na nafsi yako na kama ukishindwa ongeza familia yako au MATAGA basi, Watanzania wamemwelewa Mh Lissu.Ndio nani huyo sisi Rais wetu ni Dr. John P. Magufuli na hilo halina ubishi.
Tukutane kwenye kiapo mara baada ya October 28.
JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app