Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Sijui ni kwanini Tanzania ina 'bahati' mno ya 'Kuongozwa' na Marais waliokuwa / wenye Fani za 'Ualimu' labda ukiondoa tu Hayati Mkapa na Mzee Kikwete. Na kwa zile za chini ya 'Kapeti' nilizopenyezewa ni kwamba hata 2025 kama 'Upinzani' usipojipanga kuanzia sasa basi huenda Rais ajaye ( Muislamu japo Mkewe ni Mkristo Mkatoliki ) nae atakuwa alishawahi kuwa ni Mwalimu.

Kama ilivyokuwa Mikoa ya karibu ya Mara na Geita imetoa 'Marais' basi huenda hata Mikoa ya Mtwara na Lindi nayo ikafanya hivyo tu hapo 2025.
 
Itakuwa aibu sana kwa nchi kuongozwa na mtu asiyekubalika kwao , kwanza si Muislam alishabatizwa kitambo tu
 
Hiyo kitambo wenye maono walishapenyezwa KM Kama K zingine zilipopita ndo mbeba maono 2025.
 

Ndiyo maana ni masikini sana pamoja na rasilimali. walimu ni maneno tu. Hii sio bahati ni mahati mbaya! unafikiri kwanini vijana wanasema Tanzania bahati mbaya!
 
Ukienda kuhudhuria mikutano ya kampeni ya mgombea uraisi kupitia CCM jiandae vizuri maana ukishaingia uwanjani huruhusiwi kutoka nje hadi mkutano utakapoisha. Jana hapa Samora Iringa kuna watu wengi walishinda njaa baada ya kutoruhusiwa kutoka nje ya uwanja. watu walisimama kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 11 jioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…