Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkome kuitika kila wito. Unaitwa na shetani unakwenda halafu unarudi kulialia.Ukienda kuhudhuria mikutano ya kampeni ya mgombea uraisi kupitia CCM jiandae vizuri maana ukishaingia uwanjani huruhusiwi kutoka nje hadi mkutano utakapoisha. Jana hapa Samora Iringa kuna watu wengi walishinda njaa baada ya kutoruhusiwa kutoka nje ya uwanja. watu walisimama kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 11 jioni.
Bichwa kuuuuuubwaaa halafu akili hamna!Hadi watoto wanapiga miayo yaaniAsubuhi sana leo nilimtumia Mzee Butiku hii picha akasikitika sana.View attachment 1584320
Yaani kusema kuwa siyo vizuri kupeleka watoto wadogo kwenye kampeni tena kwenye jua kali na kutoka ni hadi kampeni iishe jioni wewe unaita ni swaga?!CCM mna nini lakini?Ni laana ya chama?Swaga kama hizi zinakisaidia Cdm?
Nimeshangaa Sana baada ya Polepole kumkaribisha mzee Butiku ameanza kwa kuuliza wanafunzi waliohudhuria mkutano wanyooshe mikono na nusu ya waliohudhuria wamenyosha mikono wengine wakiwa ndani ya nguo za shule.
Vipi huko Makambako kwani wanafunzi wako likizo? Au Leo Ni Kuna holiday huko?