ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,247
- 6,578
Duh,huruhusiwi kuondoka?[emoji29][emoji29][emoji29]Ukienda kuhudhuria mikutano ya kampeni ya mgombea uraisi kupitia CCM jiandae vizuri maana ukishaingia uwanjani huruhusiwi kutoka nje hadi mkutano utakapoisha. Jana hapa Samora Iringa kuna watu wengi walishinda njaa baada ya kutoruhusiwa kutoka nje ya uwanja. watu walisimama kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 11 jioni.