Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Kwenye picha umewezaje kujua kama dogo katoka shule? 😂😂😂Kamanda usiechoka kutoka CCM huyo dogo hapo hajalazimishwa kwenda kwenye kampeni na ameenda baada ya masomo yake,muone hapo anavyofurahia chadema.Kamanda usiechoka kutoka CCM hapa tunazungumzia watoto wa shule wanaokatizwa masomo yao kuanzia asubuhi hadi jioni na kulazimishwa kwenda kwenye kampeni za CCM kuongeza vichwa