Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Vipi nawewe unataka kumbania kura Mzee baba?Nimefika
HatufaiVipi nawewe unataka kumbania kura Mzee baba?
Zikifika 1000 tu kura za hapana inatosha
Wenzio 6mil walimnyima 2015, lakini alishinda.Habari waungwana!
Kumpigia au kutokumpigia kura ya ndiyo mwanasiasa si dhambi.
Mimi ni mmojawapo ambao tarehe 28, October, 2020 sitampa kura yangu Magufuli.
Kama na wewe hutampa kura yako Magufuli hebu weka sahihi yako hapa.
Usicheze na ubwabwaKama si Tundu Lissu ni Kheri kura yangu nimpe Hashim Rungwe.