Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Mikutano.au fiesta ya bure?[emoji23][emoji23]
Hiyo fiesta ya bule itawajaza chadema mimba ndo mtajua kumbe ilikua na athali kubwa.
Mtu anakuja kusikia fiesta kisha anapata na hoja,
Sasa nyie watu wanakuja kusikia mna jipya gani leo la police aau la kuibiwa kura au kupeleka watu mahakamani.
 
Mtajuta tu, si mlikuwa mnadhani ninyi ndo wababe huko.
Kwani kura ni mabavu au Sera na kukubalika kwa mgombea? Sasa unadhani kuchana mabango ya wagombea wa upinzani na kushusha bendera zao ndio kukubalika! Ccm ndio watajuta Mimi sina chama ni mshabiki wa haki popote pale ilipo haki nashabikia ila sio ujinga unaofanywa na ccm.
 
Sera ya chadema ni ipi, uhuru na haki?
Sasa hiyo inamaanisha nini maana kila haki na uhuru vina mipaka yake sasa ninyi uhuru wenu ni upi?
 
Sera ya chadema ni ipi, uhuru na haki?
Sasa hiyo inamaanisha nini maana kila haki na uhuru vina mipaka yake sasa ninyi uhuru wenu ni upi?
Uhuru ni kuchana mabango na kushusha bendera za mpinzani wako huo ndio Uhuru.au wewe Uhuru unajua ni yule Rais wa Kenya?
 
Nimeona Maendeleo ya JPM kwa jiji la Dar hakika yanatisha. Akija mimi wa kwanza kuwepo kumsapoti. Naomba Ratiba Mapema.

Niko hapa najipoza na ka wimbo ka Aslay -- Magufuli Waambie.

Ni ukweli ulio wazi CCM imechokwa na watanzania lakini sio kwa haraka hivi. Watu wangeendelea kukivumilia kwa Mambo makubwa aliyofanya mh rais magufuli only if Kama angekuwa na hulka ya Kikwete.

Ila kwa mwendo huu inaonyesha wazi watu wameichoka CCM kwasababu ya hulka ya mwenyekiti wake.

Inafaa kabisa kusema magufuli anakiumiza na kukigharimu chama kuliko wakati wowote wa historia yake.

Somo la kujifunza.

Ondoeni kipengele cha rais kuwa mwenyekiti wa chama hii itasaidia kumtosa Yona bahari ikichafuka. Lakini kwasasa hali ilivyo hata nyie wanaccm hamuwezi kumshuhulikia mwenyekiti wenu kwasababu mmempa madaraka makubwa mno. Marungu yote mawili anayo ukizingu serikalini anakuminya kwa dola ukizingu kwenye chama anakuminya kwa nafasi ya uwenyekiti.

Kimbunga hiki kikipita salama mjitafakari naamini nyie ni watu makini mtajifunza.

Nionavyo magufuli anawaumiza zaidi CCM kuliko hata upinzani kiufupi anakitesa chama.

Huu Uzi ni ushauri tu nimewapa chama changu Cha zamani watenganishe kofia ya rais kuwa mwenyekiti wa chama ona Sasa inawakost hawana pa kupumulia.
 
Mshukuruni JPM, Bashiru , Polepole etc. Kuwaokoa wanaCCM na adha ya kubeba jezi zao kwenye mifuko ya rambo na wakina mama kwenye tupochi twa pimajoto.
 
Yaani ametengeneza upinzani wa aina yake kwa miaka 5 sasa hawezi kureverse.Ila kama ajajifunza basi kweli yeye ni jiwe
We mtu gani anachukiwa kila Kona dah hii sijawahi ona na ndio maana wanatumia nguvu kubwa mno kumfanya apendwe. Ni Kama too late.
 
We mtu gani anachukiwa kila Kona dah hii sijawahi ona na ndio maana wanatumia nguvu kubwa mno kumfanya apendwe. Ni Kama too late.

Alipiga Kampeni peke yake miaka 5 lakini kumbe alikuwa anajipaliaa makaa.
Kina Polepole eti ndiyo washauri wake ,wamempoteza vibaya sana ,

Kununua Wabunge wa Upinzani hili pia lilikuwa kosa la kiufundi sasa linawagharimu kweli kweli .

Walisahau wapo wapiga kura wenye misimamo mikali isiyoyumba.

Acha tuwamwage tu okt 28 kitaeleweka ,tujitokeze kwa wingi kuipigia kura Chadema.
 
Tangu kampeni kuanza sijawahi kumsikia mgombea wa ccm, Magufuli akitangaza kuwa tume iwe huru. Sijawahi kumsikia hata kidogo akisema tume imtangaze yeyote atakayeshinda, awe yeye au mwingine na atakubali kushindwa.
 
keshaweka watu wake wanaomuabudu ma zero brain kama bashite kwenye tume iliyopo.
 
Back
Top Bottom