Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Habari waungwana!
Kumpigia au kutokumpigia kura ya ndiyo mwanasiasa si dhambi.
Mimi ni mmojawapo ambao tarehe 28, October, 2020 sitampa kura yangu Magufuli.
Kama na wewe hutampa kura yako Magufuli hebu weka sahihi yako hapa.
Watanzania wenye akili timamu ni wengi sana, Watanzania wasio na akili timamu ni wachache sana. Sioni mtanzania mwenye akili timamu atakayempigia kura Magufuli. Never
 
Labda tu nikutolee mfano binafsi...maisha na kipato changu kimeongezeka mara nne zaidi wakati wake kuliko nilivyokuwa napata kwa Kikwete kwa njia halali ila sitampa kura yangu sababu ya udickteta na kuminya democrasia.

Usiishi kwa kukariri

Funguka
Yes.
Mimi mwenyewe kujitegemea rasmi nilianza August 2015 hivyo maisha yangu yote ya utafutaji pesa ni awamu ya 5. Simtaki Magufuli
 
Tuna akili sana, ila hakuna jinsi. Namna pekee ni kuvaana ili atakayepoteza maisha apoteze, atakayebaki hai abaki, ila tutaheshimiana baada ya hilo sakata.
Huna uwezo wakufanya lolote zaidi ya kumbwela tuuu.
 
Magufuli hategemei kura kuwa rais, bali anategemea tume isiyo huru ya uchaguzi na vyombo vya dola kutangazwa mshindi.
Watanzania wapo tayari kumpa Magufuli hata 20 years kuliko kuwapa utopolo wa Ufipa. Magufuli 5 tena.
 
Katika hali ya kushitusha mno kwa Sugu na Chadema kwa ujumla, leo Magufuli wakati akiingia mkoa wa Mbeya wananchi maelfu walikuwa wamejipanga barabarani kumpokea walianza kudeki barabara anayopita Magufuli!.

Chadema mpo? Tukutane kesho uwajani.View attachment 1584943
Nasikia yule jamaa anayejiita Erythrocyte amekimbilia mafichoni huko Kyela akiwa na mfadhaiko mkubwa sana.
 
Kwa hiyo wakideki ndo kwamba ccm wqtachukua ushindi cyo? Mbona chadema wakiwa nyomi kwenye mikutano mnasema wingi cyo kura? Na mimi nasema leo kudeki cyo kupiga kura. Waendelee kudeki tu ikiwezekana waje wanidekie na mm sebuleni kwangu.
 
Watakua wanamdekia Diamond, maana ndie anasubiriwa kwa hamu

Tulia atulie, asije jisahau akavaa boxer ya man wake akihangaika kumuandalia mkutano babu kubwa pombe.
 
Back
Top Bottom