Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Watanzania wenye akili timamu ni wengi sana, Watanzania wasio na akili timamu ni wachache sana. Sioni mtanzania mwenye akili timamu atakayempigia kura Magufuli. NeverHabari waungwana!
Kumpigia au kutokumpigia kura ya ndiyo mwanasiasa si dhambi.
Mimi ni mmojawapo ambao tarehe 28, October, 2020 sitampa kura yangu Magufuli.
Kama na wewe hutampa kura yako Magufuli hebu weka sahihi yako hapa.