Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Ni ukweli ulio wazi CCM imechokwa na watanzania lakini sio kwa haraka hivi. Watu wangeendelea kukivumilia kwa Mambo makubwa aliyofanya mh rais magufuli only if Kama angekuwa na hulka ya Kikwete...
Uzuri was Magu hachagui
Ukikosea hata Kama NI ccm anakugeukia tu
mamboii ya ubebana yalishapitwa na wakati
 
Tangu kampeni kuanza sijawahi kumsikia mgombea wa ccm, Magufuli akitangaza kuwa tume iwe huru. Sijawahi kumsikia hata kidogo akisema tume imtangaze yeyote atakayeshinda, awe yeye au mwingine na atakubali kushindwa.
Yeye ndiye tume
 
Esijiara
Stigilazi
Drimulaina
Maflayiova
Zahanati 400
Na hadithi yangu ikaishia hapo....Huyu mzee ukienda kwenye ballot chamber ukamuwekea tiki ukitoka hapo nakushauri uende mirembe maana una ugonjwa wa ukichaa!
Bahati mbaya Tanzania vichaa ni wengi zaidi kuliko wazima,
 
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiombewa na Masista wa Kanisa Katoliki alipopita eneo la Uzunguni Jijini Mbeya jana mara baada ya kuwahutubia Maelfu ya Wananchi wa mkoa wa Mbeya. Masister hao wamemuombea na kumtakia heri katika majukumu yake.

6C3C4534-3470-49CC-9A30-8A3E87FB134A.jpeg
E6650638-033B-463E-B46F-48F171DABE55.jpeg
 
Kutokea Nyakanazi muda huu .....

Mabibi na mabwana heshima kwenu.

Habari kutoka Nyakanazi kampeni za mgombea wa chama mboga mboga zimedoda vilivyo.

Magari yamesimamishwa kwa zaidi ya masaa matatu sasa.

Abiria na wasafiri (wengine hata wa kwenda nchi jirani) wameshurutishwa kwenda kusikia sera za mgombea wetu pendwa.

IMG_20201001_094400_101.jpg

Mkutano unaendelea tunasubiri picha picha zaidi tokea kwa mdau aliyepiga kambi eneo la tukio.
 
Bongo hatuna mifuko ya rambo mkuu
Mshukuruni JPM, Bashiru , Polepole etc. Kuwaokoa wanaCCM na adha ya kubeba jezi zao kwenye mifuko ya rambo na wakina mama kwenye tupochi twa pimajoto.
 
Hilo eneo la mkutano au kituo cha mafuta?

Magari ni mengi sana saa ya 4 hiyo inakwenda.

Magari yemeegeshwa maeneo yote hata katika kituo cha mafuta, barabarani na sehemu zingine zote yanakoweza kusimama.

Shughuli!
 
Hivi, connection anayoisema ni ipi wakuu? Ukienda majimbo yanayoongozwa na wabunge wa chama chake utashangaa, Sitaki kuyataja Ndugu mnayajua yooote kwani huko hiyo connection haitakiwi?

Daah huyu baba sijui kakutwa na nini jamani, mara Jimbo linaloongoza Kwa kukosa Maendeleo ni Rorya na Mwibara Yote hayo yamekuwa chini ya chama chake tangu kupata uhuru, sasa huko kwani hakukuhitajika connection? Khaaas
 
Maendeleo HAYANA CHAMA
 
Pengine anataka kuwe na "connection" ya majimbo ya mfano na ya kimkakati kwa standard za kiCCM, yale yenye watu wenye kuishi ktk taswira halisi ya uchumi kati kama lile la Kongwa.
 
Tanzania kama taifa tumeshapiga hatua ya kuweza kujitegemea na hatimaye kufanikiwa kuingia katika uchumi wa kati tukiwa miongoni mwa nchi 10 zenye uchumi unaokua kwa kasi barani Afrika.

Kamwe tusiruhusu kuongozwa na Rais anayedekadeka kwa wazungu, atauza nchi.

Nawatakia Jumaa karim.

Maendeleo hayana vyama!
 
Attachments

  • VID-20200929-WA0015.mp4
    901.4 KB
Back
Top Bottom