Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Dar anarudi mara ya pili.vipi ile kampeni walifanya Uwanja wa Uhuru ilikuwa ni ya mji gani?
 
Mwambie Ajiandae Kupiga magoti.
Asipopiga magoti hapati kura hata 1 Dar es salaa.

Ametuvunjia Nyumba kwa ukatili mkubwa sana Kigogo,kiluvya, kimara kibamba.

Mwanza alisema hawabomolei nyumba kwa sababu walimpa kura nyingi.
 
Mgombea urais wa CCM siku ya Ijumaa ataitikisa Dar kwa mikutano kabambe na ya kisayansi.

Mzizima kaeni tayari kupokea madini ya " ukweli "

Source: Uhuru
alikiba,diamond ,harmonize na zuchu watakwepo ? Hii fiesta ya mwaka huu haina mvuto
 
Back
Top Bottom