Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Yeye hazijui shida zetu unajua tena mshahara wake unarundokana tu hakuna anachonunua
 
n hawa kiduchu wamesombwa na mafuso! short of that mkutano ungeliahirishwa! Sijui kama kuna kitu wanajifunza!
 
Naona mwanza hawamtaki magu, kampeni zimeanza rasmi sasa
Mmh we Mwanza iache hivyo hivyo, umesahau kwa Lowasa walideki hadi barabara, kwenye kura wakamtosa.

Halafu upinzani mnafeli kitu kimoja, nyie mna amini zaidi kampeni za majukwaani kujaza watu, mkiona nyomi mnadhani mmewini, CCM kampeni za jukwaani ni geresha tu.

Wana msemo wao wa nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba, kitanda kwa kitanda na shuka kwa shuka.
 
Inabidi wagawane wasanii ili kujaza mikutano yao wasanii ni wengi kuliko wagombea wanatosha kugawana
 
Kama Mungu aliagiza hivyo na kumaanisha, ilikuwaje Adam na Hawa wakazaa watoto wawili tu? Na Ibrahim ilikuwaje azae watoto wachache licha ya kuoa wanawake wawili? Uwe unairuhusu akili yako kuwa huru unaposoma maandiko ili uyalinganishe na mazingira uliyopo na sio unasoma kikasuku!
Au ccm Ina lengo la kuongeza idadi ya ombaomba barabarani? Haiyumkini karibu ombaomba wote wanatoka Kanda pendwa!
 
Mwaka 2015 wagombea wa CCM maeneo mbalimbali wakati wa kampeni walipiga Sana pushap. Mwaka huu nafuatilia kampeni lakini sioni dalili za wagombea kupiga pushap?

Nini kimefanya pushap kupuuzwa awamu hii?
 
Kama sio mgombea haina shida sana tatizo ni mgombea kama angekuwa mgombea halafu halafu watu wachache hivyo ingekuwa aibu
 
Adamu alikiwa na watoto watatu Kaini,Habel na Sethi.Ibrahimu alikuwa na watoto wawili wanaofahamika Isaka na Ishmael,Isaka alikuwa na watoto wawili Yakobo na Esau tulete duniani watoto tunaowamudu sio kuhamasisha tu
 
Kipindi kile tulikuwa tunaomba kura, Leo tunaomba tuendelee kula, kwahiyo pushap hazihitajiki.
 
Muongo sana wewe mbona youtub kwenye mkutano watu ni wengi?
 
Mzee sijui kwanini hawezi kuchambua maneno ya kuongea mbele ya haraiki. Ujumbe unaweza ukafika kwa njia nzuri zaidi ya uwakirishaji huu.
Kina mama wanatabu sana na huyu mzee😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…