Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Yeye hazijui shida zetu unajua tena mshahara wake unarundokana tu hakuna anachonunua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anashauri tupigane miti
Nadhani kuna shida kubwa kwenye malezi yake.Meko anapenda sana kutoa kauli za kudhalilisha wanawake na utu wa mwanamke. Ni matusi ya nguoni
Sijui ni kwanini?
n hawa kiduchu wamesombwa na mafuso! short of that mkutano ungeliahirishwa! Sijui kama kuna kitu wanajifunza!Tuliposema amejipitisha kwa nguvu kwenda kumsaidia Magu kwenye kampeni hatukukosea
Sasa ni aibu tupu mkutano wa waziri mkuu kukosa watu kiasi hiki
Kumbe bila wasanii hata Magufuli Hana watu.
Ni aibu mwaka huu hata mama Samia naye kakosa watu kisa kulikuwa hakuna malori ya kuwasomba
View attachment 1555613
Mmh we Mwanza iache hivyo hivyo, umesahau kwa Lowasa walideki hadi barabara, kwenye kura wakamtosa.Naona mwanza hawamtaki magu, kampeni zimeanza rasmi sasa
Inabidi wagawane wasanii ili kujaza mikutano yao wasanii ni wengi kuliko wagombea wanatosha kugawanaTuliposema amejipitisha kwa nguvu kwenda kumsaidia Magu kwenye kampeni hatukukosea
Sasa ni aibu tupu mkutano wa waziri mkuu kukosa watu kiasi hiki
Kumbe bila wasanii hata Magufuli Hana watu.
Ni aibu mwaka huu hata mama Samia naye kakosa watu kisa kulikuwa hakuna malori ya kuwasomba
View attachment 1555613
Drone mmezuia sababu ya lisu,hata TBC kuonyesha mkutano wa ACT tumtoe tusimtoe pans utumbuzi lzm ufanyikeUnapiga picha kutumia techno kimeo ukiwa mbali maili 100,pathetic
Kama Mungu aliagiza hivyo na kumaanisha, ilikuwaje Adam na Hawa wakazaa watoto wawili tu? Na Ibrahim ilikuwaje azae watoto wachache licha ya kuoa wanawake wawili? Uwe unairuhusu akili yako kuwa huru unaposoma maandiko ili uyalinganishe na mazingira uliyopo na sio unasoma kikasuku!Aliyesema Kazaeni mkaijaze Dunia ndiye aliyeweka uzazi nyongani na ndiye aliyeumba Vyote na kuamuru hivyo
Uwoga wa kutokumwamini Yeye aliyesema hayo na ndiye muumbaji wa Vyote! ndio chanzo cha matatizo yote yaliyopo duniani hapa
Wamama kuwa na magonjwa mengi, vimbe, kansa na magonjwa kibao Ndiyo matatizo yatokayo na kuwepo mpango wa uzazi, huku wanaume wakiendelea na Afya zao kisa Tu wao hawaweki vijiti na kuchoma masindano ya uzazi wa mpango
Magufuli Yuko Sawa, ukiondoa hofu ya namna gani maisha yatakuwa
Adamu alikiwa na watoto watatu Kaini,Habel na Sethi.Ibrahimu alikuwa na watoto wawili wanaofahamika Isaka na Ishmael,Isaka alikuwa na watoto wawili Yakobo na Esau tulete duniani watoto tunaowamudu sio kuhamasisha tuAliyesema Kazaeni mkaijaze Dunia ndiye aliyeweka uzazi nyongani na ndiye aliyeumba Vyote na kuamuru hivyo
Uwoga wa kutokumwamini Yeye aliyesema hayo na ndiye muumbaji wa Vyote! ndio chanzo cha matatizo yote yaliyopo duniani hapa
Wamama kuwa na magonjwa mengi, vimbe, kansa na magonjwa kibao Ndiyo matatizo yatokayo na kuwepo mpango wa uzazi, huku wanaume wakiendelea na Afya zao kisa Tu wao hawaweki vijiti na kuchoma masindano ya uzazi wa mpango
Magufuli Yuko Sawa, ukiondoa hofu ya namna gani maisha yatakuwa
Malori na wasaniiWatu si hao hapo nkuu?
Au nani ulitarajia kumuona hapo?
Mzee sijui kwanini hawezi kuchambua maneno ya kuongea mbele ya haraiki. Ujumbe unaweza ukafika kwa njia nzuri zaidi ya uwakirishaji huu.Hayo ameyasema raisi Pombe, muda siyo mrefu kwenye kampeni zinazoendekea mkoani Singida, nanukuu.
"Elimu ni bure, wakinamama zaeni hakuna haja ya kupanga uzazi, matiti ya kunyonyesha mnayo, wanaume wa kuwapeni mimba wapo."
Toa maoni je ni kweli kupanga uzazi hakuna maana kama wataalamu wanavyo shauri, hii siyo mara ya kwanza Magufuli kuwaambia watanzania kuwa zaeni, msipange uzazi.
ccm urais wanauchukulia poa!Hivi huyu jamaa zinamtosha kichwani kweli? Tumechagua rais timamu kweli? Mbona hana kauli za kiuongozi?
Najuta kumfahamu.